Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichofanya ni utafiti au ni kuhisi tu, umefikiaje idadi hiyo ya nusu ya wanawake. Huo ni unajimu na si utafitiHuu utafiti binafsi nilioufanya pamoja na kuwa idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume nimekuja gundua kuna idadi ndogo ya wife material kwa mana hiyo nusu ya wanawake wa sasa hawafai kabisa kuolewa
Kwa hali ya sasa ukifikilia kwa makini ni kama hatuna wanawake wakuoa wengi wamekuwa na viburi na zarau. Ukipata mwanamke mnyenyekevu mwenye kukuheshimu ujue umefanikiwa sana
Pia, kuna kundi wanawake waliozalia nyumbani hawa nao ndio hawana sifa kabisa ya kuolewa kuna wanaume walijaribu kuwa sitiri lakini mwisho waliendelea na mahusiano ya awali
Waoaji wamejaa tele.. labda ww unahangaika na mabaharia pekeeKuolewa ni nzuri sana il shida hawapo wanaume wakuoa.
#hawapo
Labda kama wewe ME ni mpare pia maana ndo wanayaweza..isipokuwa wapare, ktk kikao cha wanaume tulikubaliana kwa kauli moja yakwamba wanawake wa kipare ni wife material kwa hali zote, umbo, tabia na matumizi ya pesa.
Nipe contact zao wawili tu hata sio wengiWaoaji wamejaa tele.. labda ww unahangaika na mabaharia pekee
yaelekea huyu mdada unampigia puli mpaka basi
🤣 🤣yaelekea huyu mdada unampigia puli mpaka basi
Weka pic, fb wengine hatupo huko
subiri nikuige sasa
Weka pic, fb wengine hatupo huko
Ndugu tatizo lipo kwetu tunachagua kwa vigezo vya kibinadamu kama tabia, sura,elimu, kabila n.k hivyo ndivyo makosa yetu haturudi kwa Mwenyezi Mungu kutupa wake maana aliahidi atatupa wa kufanana nasi, ndoa nyingi zina shida watu hatukupewa na Mungu tukatumia vigezo vyetu ambavyo vinaleta shida.Huu utafiti binafsi nilioufanya pamoja na kuwa idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume nimekuja gundua kuna idadi ndogo ya wife material kwa mana hiyo nusu ya wanawake wa sasa hawafai kabisa kuolewa
Kwa hali ya sasa ukifikilia kwa makini ni kama hatuna wanawake wakuoa wengi wamekuwa na viburi na zarau. Ukipata mwanamke mnyenyekevu mwenye kukuheshimu ujue umefanikiwa sana
Pia, kuna kundi wanawake waliozalia nyumbani hawa nao ndio hawana sifa kabisa ya kuolewa kuna wanaume walijaribu kuwa sitiri lakini mwisho waliendelea na mahusiano ya awali
hivyo ndivyo makosa yetu haturudi kwa Mwenyezi Mungu kutupa wake maana aliahidi atatupa wa kufanana nasi
Mtoto mzuri lkn... 😂
Waleeni mabinti zenu vizuri ili wawe wake bora baadaye, acheni kulaumu haitasaidia, jiulize wewe kama baba unashiriki vipi kuhakikisha binti yako ni wife material wa baadaye?Huu utafiti binafsi nilioufanya pamoja na kuwa idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume nimekuja gundua kuna idadi ndogo ya wife material kwa mana hiyo nusu ya wanawake wa sasa hawafai kabisa kuolewa
Kwa hali ya sasa ukifikilia kwa makini ni kama hatuna wanawake wakuoa wengi wamekuwa na viburi na zarau. Ukipata mwanamke mnyenyekevu mwenye kukuheshimu ujue umefanikiwa sana
Pia, kuna kundi wanawake waliozalia nyumbani hawa nao ndio hawana sifa kabisa ya kuolewa kuna wanaume walijaribu kuwa sitiri lakini mwisho waliendelea na mahusiano ya awali
Makosa ni kwetu kwani hatukumwomba tukatumia vigezo vyetu kumbe tukakamatika kama mbuziHapa ndipo alipotuacha solemba, hakutupatia miongozo, matokeo yake tunakutana nao kama vipofu tunauziwa mbuzi kwenye magunia muziki tunakwenda kukutana nao majumbani, unajiuliza hivi nimenunua mbuziiii au chui!!!