Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Achana na hiyo nusu isiyofuata mkuu. Tafuta hao nusu wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa bkra wameuza wapii kama wana tabia nzuriWanawake wapo hawajaisha..wenye tabia nzuri ila awana bkra tuu
Sasa bikra wameuza wapii kama wana tabia nzuriWanawake wapo hawajaisha..wenye tabia nzuri ila awana bkra tuu
Tuwe tu wakweli ndugu zangu ,kuna mtu ametafuta mke akakosa kwa kigezo kuwa wote anaowaona hawamfai ?Waoaji wapo shida kubwa wanawake wa sasa wameshindwa kujitambua kuwa uzuri huwa unamwisho wakishagonga age 30 bila ndoa ndio ufahamu unarudi
Nature haijawahi kushindwa kubalance mambo [emoji28][emoji28] [emoji119]Pia robo tatu ya wanaume wote tanzania hawafai kuoa maana wengi wamekuwa marioo,mara vibamia,nguvu za kiume hawana na umaskini juuu
😂😂😂😂 hapo ni aliomba Mungu, je wengine tunaoparamiana tu hali zikoje?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama mm aiseee nimenata kwa mtoto yaani anajua wajibu wake Hadi sio poa usafi , upole,unyenyekevu ,ucheshi, urembo, kichwani zimetimia na anajituma .....yaaani kunakipindi najutuaga kabisa kumsaliti na naumia yaaani naanza kutafuta justice ya ku equalize maujinga yangu siioni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna muda tukitazamana usoni namuhurumia nasema mama ungejua umeolewa na mwanaume wa aina gani sijui Kama ungetabasam hivo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sijawahi penda wanawake ila huyu nimejifunza kumpenda na kumuheshumu ,Hadi yeye mwenyewe anasema eti aliniomba Mimi kwa Mungu na akampatia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa nikijiangalia mtu mwenyewe ambaye niliombwa kwa mwenyezi Mungu naishia kujicheka tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nas nashauri upewe ulinzi....Unaweza kuta tatizo ni sisi wanaume pia hatuna hizo AKILI za kuishi na wanawake...
Hii thread inachekesha....mtagawana na nani,ilihal wanaume wanaofaa kuoa na kuwa baba ndani ya familia hawafiki hata robo
[emoji23][emoji23][emoji23] mzee Bora upate mwanamke chakaramu ili ukifanya upuuuzi uwe na vizingizio.....ila hawa watulivu unaumia
Katika ile robo ya husband matirio...baba J nawe upo 😁Acha kulia lia mtoto wa kiume, fahari ya mwanaume kumtumza mke (mwanamke).
Kwann usivumilie genye zako ukipata ndo utongoze?
Nadhani ni zaidi ya nusu haswa hapa Dar, nadiriki kusema HAKUNA kabisa mwanamke wa kuoa au wa kuwa naye kwenye mahusiano tu. Waliobaki ni kuchapa na kuwakimbia wakiwa wamelala Guest, never invite them nyumbani kwako, utarogwa mwishowe ukajikuta unaoa zimwi.Huu utafiti binafsi nilioufanya pamoja na kuwa idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume nimekuja gundua kuna idadi ndogo ya wife material kwa mana hiyo nusu ya wanawake wa sasa hawafai kabisa kuolewa.
Kwa hali ya sasa ukifikilia kwa makini ni kama hatuna wanawake wakuoa wengi wamekuwa na viburi na zarau. Ukipata mwanamke mnyenyekevu mwenye kukuheshimu ujue umefanikiwa sana.
Pia, kuna kundi wanawake waliozalia nyumbani hawa nao ndio hawana sifa kabisa ya kuolewa kuna wanaume walijaribu kuwa sitiri lakini mwisho waliendelea na mahusiano ya awali.
Ni chanzo ni kutokana na Sheria mbovu za ndoa, ktk jamii hasa Wanaume matatizo yanaanza akishaoa, Mwanamke anataka kumiliki kipato na shughuli za kila siku za Me, kitua ambacho hakiwezekani, na hapo ndio Ke anaanza kero ndani, hali hio inashusha morali na mbinu za Mwanaume kutafuta mali zaidi, kwani pesa ni matokeo ya Mtu anavyopanga akilini mwake, Ke Anafanya hujuma nyingi akitafuta huo umiliki, Na mwisho wanakua masikini au wanaachana, na muda mwingi umepotea bure. Hata Nchi Tajiri waligundua sheria za ndoa zinarudisha maendeleo ya Nchi zao nyuma ndio maana wakabadilisha.Tunaomba ufafanuzi zaidi Mkuu.... Hapo uliposema kuwa Ndoa pia ni chanzo Cha umasikini Tanzania.
Awe kati kati ila heshima yake kwangu idumu. Hata Huyo mchepuko akikuuliza umekosa nini kwa mkeo uwe na sababu na sio kuanza kumsingizia sababu za uongo ambazo ukija kumuona mkeo unaanza kuona huruma kwa kitendo ulicho kifanya .Sasa mnatakaje? Wife matirio au chakaramu?
Hamna jema kwa wanadamu...Awe kati kati ila heshima yake kwangu idumu. Hata Huyo mchepuko akikuuliza umekosa nini kwa mkeo uwe na sababu na sio kuanza kumsingizia sababu za uongo ambazo ukija kumuona mkeo unaanza kuona huruma kwa kitendo ulicho kifanya .
Yaani unachepuka ukikaa ukitulia na kujiuliza kwa nn nachepuka ....sababu iwe aaah tatizo Mke wangu ana gubu sana. Aaah tatizo Mke wangu ananibania sana kimbususu chake hivyo yaani.
Huu utafiti binafsi nilioufanya pamoja na kuwa idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume nimekuja gundua kuna idadi ndogo ya wife material kwa mana hiyo nusu ya wanawake wa sasa hawafai kabisa kuolewa.
Kwa hali ya sasa ukifikilia kwa makini ni kama hatuna wanawake wakuoa wengi wamekuwa na viburi na zarau. Ukipata mwanamke mnyenyekevu mwenye kukuheshimu ujue umefanikiwa sana.
Pia, kuna kundi wanawake waliozalia nyumbani hawa nao ndio hawana sifa kabisa ya kuolewa kuna wanaume walijaribu kuwa sitiri lakini mwisho waliendelea na mahusiano ya awali.
Wanajiitaga Supawomeni
Mbona huku kwetu wadada wanasalimia na wakarimu sana au nyie wandugu mnataka mambo yapi tena?