Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

Wengine tu watiifu lakini nyie wanaume wa siku hizi, tukiwatii mnatufanya ndio kama vile watumwa wenu. Mtu anakukosea unamsamehe, kesho anarudia, unamsamehe. Anazoea na dharau zinazidi. Siku nikiongea, mnasema mwanamke mjeuri. Chukulia maisha yako ni kioo. Kile unachofanya ndicho kioo kinachogeza. Ndivyo hivyo kwenye maisha. Ukinipenda, nitakutii na kukusikiliza. Ukinidanganya nitakudharau
 
Tukubali Wanaume waoaji pia hamna, wengi wanapenda kitonga mwishoe wanaangukia kwenye useng*
 
Ulitaka uombwe Nini mkuu..
Unapoenda kwa mwanamke unamuomba hela ama nini. Shida kubwa wao pesa wameona km ndio kitega uchumi chao. Wakati wanatakiwa wawe wavumilivu kwanini na wewe mkuu ukitongozwa unawahi kuomba hela kama ndio hivyo utaozea kwenu ama katafute kambi ya kuuza K.
 
Ndio msingi wa familia bora katika kitongoji,kijiji,Kata wilaya mkoa nchi.....
ww umezoea kuishi magetoni/kihuni!!?
huko ndio zao la wahuni na mis.henzi
Acha kukariri

Maana pia ma homosexual wengi wanatoka kwenye hizo familia hasa wa gate kali tofauti na mageton
 
Hapo kwenye viburi na dharau ongeza na ujuaji, yani hali ni mbaya sana mitaani..
🤣 🤣 🤣 ila mnawaharibia sana single mothers jamani. Kwani walikuw wana do na kuzalishwa na akina nani? Si nyie nyine
 
Uliowekeza kwenye kuoa ndio mnatuchosha sisi wajuba tunataka wanawake wenye viburi na dharau ili iwe rahisi kumuacha sasa wanyenyekevu huwa inachukua muda kumpigia chini kwahiyo inakuwa wanatupa kazi kimtindo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama mm aiseee nimenata kwa mtoto yaani anajua wajibu wake Hadi sio poa usafi , upole,unyenyekevu ,ucheshi, urembo, kichwani zimetimia na anajituma .....yaaani kunakipindi najutuaga kabisa kumsaliti na naumia yaaani naanza kutafuta justice ya ku equalize maujinga yangu siioni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna muda tukitazamana usoni namuhurumia nasema mama ungejua umeolewa na mwanaume wa aina gani sijui Kama ungetabasam hivo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila sijawahi penda wanawake ila huyu nimejifunza kumpenda na kumuheshumu ,Hadi yeye mwenyewe anasema eti aliniomba Mimi kwa Mungu na akampatia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa nikijiangalia mtu mwenyewe ambaye niliombwa kwa mwenyezi Mungu naishia kujicheka tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeangalia proportion ya wanaume wanaofaa kuwa waoaji?

Maana mwenendo wetu haufai pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…