Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

Siku hizi kila kitu kinapatikana kwa shida;
Bikra zinapatikana kwa shida,
Nguvu za kiume zinapatikana kwa shida,
Pesa zinapatikana kwa shida,
Wife material wanapatikana kwa shida,
Bia tu ndo zinapatikana kwa wingi.
Hivyo tutafute pesa ili tunywe bia.
 
Hatari tupu
 
Kwani umelazimishwa kuwaoa?

Kuna siku dunia ilisimaa kisa kuna wanawake hawajaolewa au baadhi ya wanaume hawajaoa?

Ukiona mahusiano yanakushinda achana nayo fanya mengine.
Hili jibu linatupa picha kuhusu utafiti wa Mleta mada.

Hypothesis confirmed
 
Wengi feminists, dawa yao ni kuwatumia na kuwatema, akili iwakae
We unadhani unawatumia kumbe wanakutumia. Kuna demu moja lichafu lichafu huko mtaani kwetu linatembea na njema wote wa mtaani. Halafu linakutajia Listi Deusi, Juma, Hamid, Joel nimeshawalamba. wala halina aibu.

Nyie mnadhani mmelila kumbe na lenyewe linawaweka kwenye list limewala wote.
 

Hahaha yeye ndiye anapoteza, maana 'mileage' zinazidi kukata kama covid hit Wuhan kule
 
Kuna wanawake wana vitabia fulani vya ajabu ajabu unakuta kimuonekano ni mzuri tu umemsotea umepiga sound za kutosha lakini mara paaa anakuwa mikononi mwako unagundua ulikuwa unapoteza muda na pesa zako tu na kama uliwaza uweke ndani na wazo linaishia hapo hapo na pia unaweza date na wanawake watano ukakuta angalau anayefaa kuwa wife ni mmoja au asiwepo kabisa so mambo ya kuulizana ntakuoa lini muache dating sio lazima kuoana.
 
Nyuzi kama hizi mnatuharibiaa [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…