Uma una nguvu kuliko policeJitokeze barabarani na siyo nyuma ya keyboard ukaione service ya Polisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uma una nguvu kuliko policeJitokeze barabarani na siyo nyuma ya keyboard ukaione service ya Polisi.
Wewe utakuwa mkikuyu ,lolWaliomfahamu Raila vizuri, walimbatiza kitambo 'Lord of Violence' na 'Lord of Poverty'.
Lord of violence kwa sababu yeye hutumia nguvu kupanda ngazi. Ako na uwezo wa kuambia wafuasi wake waache vita, lakini hajawai ata jaribu. Na hii ni kutoka miaka ya 1980. 1982 alijaribu kugeuza serikali ya Moi (coup). Akawekwa detention na kudanganya wakenya kwamba alifungwa kwa sababu ya kupigania demokrasia.
On Sunday, mambo ilikuwa imeanza kutulia Kibera. Alipanda gari na kuandamana na wabunge wachache, akaenda huko kuwachochea (incite) zaidi.
Raila anataka nusu mkate.
Lord of Poverty kwa sababu yeye hutaka wafuasi wake wabaki fukara, ili aweza kuwacontrol. Anajua vizuri kwamba watu wanaojiweza hawawezi kumpigania.
Sunday alidhihilisha vizuri alipowaambia wafuasi wake wasiende kazi leo.
Wafuasi wake wanatabia ya kuvamia maduka, supermarkets, masoko na kuiba bidhaa au kuchoma. Raila hajawai ata mara moja simama na kuwaambia waache.
Ni kweli ndio maana kuna makaburi ya mashujaa, huwezi kuona makaburi ya "wajinga"