Nadhani Sheikh Ponda haelewi Protocol za Serikali, hakukuwa na ulazima wowote Mgeni rasmi kukaa hadi Mwisho wa Mashindano ya Kuhifadhi Quran

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nataka tu kumjulisha Shehe Ponda kuwa Serikali ina Itifaki zake inazozizingatia Wakati Wote inapopokea mialiko katika Shughuli mbalimbaki

Shehe Ponda anadhani ni lazima Mgeni rasmi kukaa kwenye Shughuli aliyoalikwa hadi Mwisho

Nimesoma Ponda Ukurasani X

Ahsanteni sana 😄

Malaria 2
 
Kamjibu ktk X yake
 
Sawa Gerson Msigwa tumekusikia
 
Nataka tu kumjulisha Shehe Ponda kuwa Serikali ina Itifaki zake inazozizingatia Wakati Wote inapopokea mialiko katika Shughuli mbalimbaki

Shehe Ponda anadhani ni lazima Mgeni rasmi kukaa kwenye Shughuli aliyoalikwa hadi Mwisho

Nimesoma Ponda Ukurasani X

Ahsanteni sana
 
ponda ni pure gaidi, na huwa anaamini hii nchi ni ya kiislam,kumbe waislam wachache kuliko hao wengine.
 
Nataka tu kumjulisha Shehe Ponda kuwa Serikali ina Itifaki zake inazozizingatia Wakati Wote inapopokea mialiko katika Shughuli mbalimbaki

Shehe Ponda anadhani ni lazima Mgeni rasmi kukaa kwenye Shughuli aliyoalikwa hadi Mwisho

Nimesoma Ponda Ukurasani X

Ahsanteni sana 😄

Malaria 2
Kilaza
 
Sasa Yohana Mbatizaji na mambo ya masheikh wapi na wapi?
 
Ponda gaid? Mkiristo wewe unachuki na waislam
kwahiyo nikisema ponda gaidi nakuwa na chuki na waislam? kwani uislam ni ugaidi? kama haujui, tangu enzi za mwembehai ni PONDA mcheza karate na mfundisha karate ndiye hurecruit magaidi, akiwa na mwenzie kundecha. fuatilia ugaidi wooote uliofanyika tanzania kulikuwa na mkono wa ponda. hawa ndio wanaochafua uislam na ulitakiwa uwe wa kwanza kuwashutumu badala ya kuwatetea.
 
Umenikumbusha mbali sana 😀
 
Umenikumbusha mbali sana 😀
enzi za mwembechai eheee, vile virungu na mateke, walikuwa hawajui wewe ni mkristo, muislam, mganga wa kienyeji, mhindu au yeyote wakikukuta njiani maeneo yale unakula teke. yote yale yalikuwa na mkono wa ponda, na ameendelea hivyo hadi kesho. ana kesi rundo mahakamani huyo, zote ukisimuliwa, zina ugaidi. ponda mwenyewe mrundi anayejifanya mtu wa kigoma.
 
Nataka tu kumjulisha Shehe Ponda kuwa Serikali ina Itifaki zake inazozizingatia Wakati Wote inapopokea mialiko katika Shughuli mbalimbaki

Shehe Ponda anadhani ni lazima Mgeni rasmi kukaa kwenye Shughuli aliyoalikwa hadi Mwisho

Nimesoma Ponda Ukurasani X

Ahsanteni sana 😄

Malaria 2
Ulimalizia hapo chini unamaanisha Shekhe Ponda ana Malaria 2 ?
 
Back
Top Bottom