britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
- Thread starter
-
- #21
We akili hazikutoshi kabisaSheria tumetunga wenyewe kupitia wawakilishi tuliowachagua wenyewe (wabunge). Wewe unalalamika kama nani? Hazikuhusu. Nani kakwambia tunatakiwa kutunga sheria zinazofanana na nchi za wengine?
HakikaKatika nchi ambayo ina utamaduni wa hewala hewala, mtoto akikulia utamaduni huo, hata akija kuwa msomi anakuwa nsomi wa hewala hewala.
Na akishika nafasi ya juu kabisa anajiona mfalme. Kila mtu ampe hewala hewala.
Ndiyo maana watu wanalalamika lalamika wakuu wa mikoa na wilaya wanatumia sheria za kukamata watu vibaya.
Lakini hapo hapo ukisoma sheria unayompa mkuu wa wilaya au mkoa nguvu za kufunga watu, chini yake kunansheria inayosema mkuu wa wilaya au mkoa akitumia madaraka vibaya kifunga watu aadhibiwe vipi.
Nani kaanzisha kesi kumshtaki Mkuu wa Wilaya aliyetumia madaraka vibaya?
Jitu linasoma mpaka PhD, linakuwa libunge na liwaziri miaka kibao, linafika uongozi wa juu kabisa wa nchi, linashindwa hata kuongea kwa staha za uongozi wa juu kabisa wa nchi tu.
Na watu wanalishangilia, jembe.
Hapo tatizo si usomi tu.
Usomi wetu unaelea kwenye utamaduni wa ushamba na kuabudu wakubwa bila kujali wanayofanya.
Ndiyo maana watu wanaoweza kupinga mabaya ya wakubwa ni wachache sana.
Usomi ambao haujaweza kusaidia mtu kuwa na staha ndogo tu, ni magumashi.
Wewe unafikiri zinakutosha? Wenye akili hujibu hoja kwa hoja!We akili hazikutoshi kabisa
Mods naomba kwa Mara nyingine, mtuongezee idadi ya likes unazoweza kumpa mtu kwa comment yake. Mtu kama huyu kumpa like "moja" ni kumdhalilisha.Katika nchi ambayo ina utamaduni wa hewala hewala, mtoto akikulia utamaduni huo, hata akija kuwa msomi anakuwa nsomi wa hewala hewala.
Na akishika nafasi ya juu kabisa anajiona mfalme. Kila mtu ampe hewala hewala.
Ndiyo maana watu wanalalamika lalamika wakuu wa mikoa na wilaya wanatumia sheria za kukamata watu vibaya.
Lakini hapo hapo ukisoma sheria unayompa mkuu wa wilaya au mkoa nguvu za kufunga watu, chini yake kunansheria inayosema mkuu wa wilaya au mkoa akitumia madaraka vibaya kifunga watu aadhibiwe vipi.
Nani kaanzisha kesi kumshtaki Mkuu wa Wilaya aliyetumia madaraka vibaya?
Jitu linasoma mpaka PhD, linakuwa libunge na liwaziri miaka kibao, linafika uongozi wa juu kabisa wa nchi, linashindwa hata kuongea kwa staha za uongozi wa juu kabisa wa nchi tu.
Na watu wanalishangilia, jembe.
Hapo tatizo si usomi tu.
Usomi wetu unaelea kwenye utamaduni wa ushamba na kuabudu wakubwa bila kujali wanayofanya.
Ndiyo maana watu wanaoweza kupinga mabaya ya wakubwa ni wachache sana.
Usomi ambao haujaweza kusaidia mtu kuwa na staha ndogo tu, ni magumashi.
1. Si kila mtu kawachagua wawakilishi hao.Sheria tumetunga wenyewe kupitia wawakilishi tuliowachagua wenyewe (wabunge). Wewe unalalamika kama nani? Hazikuhusu. Nani kakwambia tunatakiwa kutunga sheria zinazofanana na nchi za wengine?
Tell him1. Si kila mtu kawachagua wawakilishi hao.
2. Mwananchi kulalamika ni sehemu ya demokrasia.
3. Hapa watu wanalalmika kama wananchi. JF motto we dare to talk openly. Wewe ni nani unahoji wanachi wanavyolalamika?
KabisaTwende taratibu na hali hii kiukweli ni mbaya
HahahaNa utaonesha makaburi ya babu zako hata kama alifia india kwa matibabu
Hmmm naona....mwisho wa siku tutazungumza lugha moja tu "maana athari twazipata wote"
Sheria tumetunga wenyewe kupitia wawakilishi tuliowachagua wenyewe (wabunge). Wewe unalalamika kama nani? Hazikuhusu. Nani kakwambia tunatakiwa kutunga sheria zinazofanana na nchi za wengine?
Sheria tumetunga wenyewe kupitia wawakilishi tuliowachagua wenyewe (wabunge). Wewe unalalamika kama nani? Hazikuhusu. Nani kakwambia tunatakiwa kutunga sheria zinazofanana na nchi za wengine?
Sure mkuu, mkimkataa shetani kataa na kazi Zeke.Unamtumikia shetani halafu unajifanya hupendi baadhi ya kazi zake?
Endelea kutumika.
HakikaHakuna bunge linalotunga sheria nchi hii. Sheria zinatungwa na rais, tiss na kikundi cha watu wachache kwa maslahi yao. Huko bungeni zinaenda kupigiwa kelele ya ndio, na wapinzani wachache wanarusharusha mate basi zinageka kuwa sheria. Ndio maana unaona kuna sheria nyingi zenye kukidhi matakwa ya viongozi walioko madarakani na sio maslahi ya umma
Hahaha HahahKweli kuna watu akili fyatu. Sheria ipi uliyoitunga katika hizo zilizotajwa?? Tulitungiwa zikaenda pigwa muhuri unasema tulitunga?? Fikiri kabla hujaandika