Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Sasa hapo mkuu umetoa hoja gani ya kujibiwa labda. Jibu alilokujibu ndio muhafaka kabisaWewe unafikiri zinakutosha? Wenye akili hujibu hoja kwa hoja!
Sheria tumetunga wenyewe kupitia wawakilishi tuliowachagua wenyewe (wabunge). Wewe unalalamika kama nani? Hazikuhusu. Nani kakwambia tunatakiwa kutunga sheria zinazofanana na nchi za wengine?
Kama naniHii awamu ya tano kuna baadhi ya viongozi wa CCM utadhani ni Al-shabaab.
He is à well fed slave.Unamtumikia shetani halafu unajifanya hupendi baadhi ya kazi zake?
Endelea kutumika.
Wanaoibuka na matamko ya kipuuzi na kufanya vitendo vya kipuuzi. Mfano aliyesema ni marufuku mtumishi wa uma kuvaa suti, aliyempigisha magoti mtumishi wa uma, nk.Kama nani
HapoNamba 2 , unataifisha gari bila hata kujiridhisha uhusika wa mmiliki wa hilo gari kwenye tukio.
SureInteresting
Ninyi ni taifa la wajingaNimekuwa nafuatilia sana mataifa mbali mbali ya afrika na dunia kwa ujumla, Kwanza naanza kwa ku declare interest kwamba mimi ni mwana CCM, ambaye nimeitumikia CCM katika nyadhifa mbali mbali,ndani na nje ya nchi,
Nimeitumikia Tanzania ndani kipindi kidogo, ila muda mwingi nimeitumikia Tanzania nje ya afrika,
Kuwa mwana CCM hakunifanyi kuziba masikio na macho ili nisisikie maovu na kuyaona mabaya ya CCM,
Kumekuwa na utitiri wa visheria vinavyoongezeka kila siku na dhumuni lake si kumlinda mwananchi ila ni kumtisha mwananchi,
1.Sheria ya mtandao, ambayo imetesa sana watu wengi wanaotoa maoni yao, hasa yanapokuwa kinyume na serikali, lazima mwananchi atishwe lazima mwananchi abughudhiwe,
2. Sheria ya kukuta gari la Mtu limebeba baadhi ya bidhaa na kulitaifisha, na kulipiga mnada, siyo kabisa, watozeni faini na muwarudishie magari yao,
3. Sheria ya mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya kumuweka Mtu yeyote ndani bila uchunguzi au kupitia kamati yeyote, huu ni uonevu wa hali ya juu sana, maana watu hasa viongozi so malaika wana matatizo n.a. wana maadui hivo wengi hutumia fursa hiyo kuwakomoa maadui,
4. Sheria ya kodi au ukokotoaji wa kodi, Tanzania ni nchi ambayo ina kiwango kikubwa cha kodi kwa afrika mashariki na ni ya pili kwa afrika nzima, utitiri wa kodi kwa kila hatua, wafanya biashara mnawakatisha tamaa sana, na pengine mnanadi bidhaa zao kwa kuwakomoa na kuwaonea,
5. Kumiliki blog au YouTube chanel eti mpaka ulipie kodi hiki ni kituko cha karne , yaan ni hatari, nchi zote watu wana YouTube channel na blogs hata website ,hawapelekeshwi kama huko Tanzania, nimeshangaa sana mpaka sasa kina Shaffy dauda wamewekwa ndani kisa kumiliki YouTube channel,
6. Tanzania inaprolong process za kuwapatia watanzania vibali vya kusafiria , na ni kama vile passport siyo haki ya mtanzania, wanauliza uLiza unaenda wapi, kwani ni mpaka nisafiri mda huo? Wenda naitafta mapema kujiandaa na safari za mbeleni
7. Kuna baadhi ya mazao Tanzania mkulima huna mamlaka ya kuuza mavuno yake mpaka uuzie ushirika, ukithibitika umeuza kahawa kwa rafiki yako unafungwa, huko ni kagera,
Yaan Tanzania tunawatesa wananchi
Britannica
HakikaHuruhusiwi kuhoji ualali wa vyeti vya makonda
Katika nchi ambayo ina utamaduni wa hewala hewala, mtoto akikulia utamaduni huo, hata akija kuwa msomi anakuwa msomi wa hewala hewala.
Na akishika nafasi ya juu kabisa anajiona mfalme. Kila mtu ampe hewala hewala.
Ndiyo maana watu wanalalamika lalamika wakuu wa mikoa na wilaya wanatumia sheria za kukamata watu vibaya.
Lakini hapo hapo ukisoma sheria inayompa mkuu wa wilaya au mkoa nguvu za kufunga watu, chini yake kuna sheria inayosema mkuu wa wilaya au mkoa akitumia madaraka vibaya kufunga watu aadhibiwe vipi.
Nani kaanzisha kesi kumshtaki Mkuu wa Wilaya aliyetumia madaraka vibaya?
Jitu linasoma mpaka PhD, linakuwa libunge na liwaziri miaka kibao, linafika uongozi wa juu kabisa wa nchi, linashindwa hata kuongea kwa staha za uongozi wa juu kabisa wa nchi tu.
Na watu wanalishangilia, jembe.
Hapo tatizo si usomi tu.
Usomi wetu unaelea kwenye utamaduni wa ushamba na kuabudu wakubwa bila kujali wanayofanya.
Ndiyo maana watu wanaoweza kupinga mabaya ya wakubwa ni wachache sana.
Usomi ambao haujaweza kusaidia mtu kuwa na staha ndogo tu, ni magumashi.
HakkaShida kubwa ni wasomi na wataalamu wa Kitanzania wapo static(mawazo mgando) ,wanapaswa kuwa dynamic (waendane na wakati na mahitaji).
Balaa kubwa tena siasa mawazo ya mtu mmoja mkuu anaeweza badili mifumo kwa kauli zake.
JakośShida kubwa ni wasomi na wataalamu wa Kitanzania wapo static(mawazo mgando) ,wanapaswa kuwa dynamic (waendane na wakati na mahitaji).
Balaa kubwa tena siasa mawazo ya mtu mmoja mkuu anaeweza badili mifumo kwa kauli zake.