Wadau nadhani mmemjua vizuri sasa Mpina. Siku zote anastrugle kuungusha utawala wa samia. Kumbe ile skendo yake na bashe ni ili ahakikishe sukari inaadimika mtaani halafu wananchi wailaumu serikali.
Jana nimesikia wakulima au wazalishaji wa sukari wakilalamika eti sukari sasa hivi imejaa kwenye maghara ya serikali na hivyo wanataka kumpeleka bashe mahakamani kwa nini sukari imejaa wakati walitegemea iwe chache ili wauze bei juu.
Hongera bashe you have stood to you toes and won the battle.