Nadhani sura halisi ya Luhaga Mpina mmeiona sasa. Alitaka sukari iadimike mtaani ili lawama ziende kwa rais na serikali yake

Nadhani sura halisi ya Luhaga Mpina mmeiona sasa. Alitaka sukari iadimike mtaani ili lawama ziende kwa rais na serikali yake

Idiot !!! foolish
Is this a greeting to me? By the way how are you. Fanya kazi kijana mazingira yamewekwa mazuri na mama. Pesa ziko nje nje ukifanya kazi lakini. Mimi hotel yangu iliyofungwa kibabe kisa niko chadema enzi za jpm sasa inafanya kazi na napiga hela. Hata ngurdoto kwa sasa inafanya kazi. Jpm alituharibia biashara na nchi kwa ujumla
 
Mpina anawakilisha wananchi wote wenye uchungu na nchi yao na siyo mafisadi ya ccm
 
Wadau nadhani mmemjua vizuri sasa Mpina. Siku zote anastrugle kuungusha utawala wa samia. Kumbe ile skendo yake na bashe ni ili ahakikishe sukari inaadimika mtaani halafu wananchi wailaumu serikali.

Jana nimesikia wakulima au wazalishaji wa sukari wakilalamika eti sukari sasa hivi imejaa kwenye maghara ya serikali na hivyo wanataka kumpeleka bashe mahakamani kwa nini sukari imejaa wakati walitegemea iwe chache ili wauze bei juu.

Hongera bashe you have stood to you toes and won the battle.
wewe chawa wa bashe
 
Mambo ya serikali ndivyo yalivyo...

Cc: Mahondaw
1.Mlaji anataka sukari iwepo tena kwa bei nafuu.

2.Mzalishaji makini anataka azalishe sukari nyingi na rahisi kwa mlaji,pia hazalishi sukari tu anazalisha byproduct nyingi kuongeza myororo wa thamani.

3.Mzalishaji akina pangu pakavu tia mchuzi,yeye sera na mtaji wake ni kutafuta au kutengeneza upungu wa sukari ili awanyonye na kuwakamua walaji.
 
Wadau nadhani mmemjua vizuri sasa Mpina. Siku zote anastrugle kuungusha utawala wa samia. Kumbe ile skendo yake na bashe ni ili ahakikishe sukari inaadimika mtaani halafu wananchi wailaumu serikali.

Jana nimesikia wakulima au wazalishaji wa sukari wakilalamika eti sukari sasa hivi imejaa kwenye maghara ya serikali na hivyo wanataka kumpeleka bashe mahakamani kwa nini sukari imejaa wakati walitegemea iwe chache ili wauze bei juu.

Hongera bashe you have stood to you toes and won the battle.
Kwa hiyo Mpina anazalisha sukari?
 
Back
Top Bottom