Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
Is this a greeting to me? By the way how are you. Fanya kazi kijana mazingira yamewekwa mazuri na mama. Pesa ziko nje nje ukifanya kazi lakini. Mimi hotel yangu iliyofungwa kibabe kisa niko chadema enzi za jpm sasa inafanya kazi na napiga hela. Hata ngurdoto kwa sasa inafanya kazi. Jpm alituharibia biashara na nchi kwa ujumlaIdiot !!! foolish
Same 2 u. Tumsifu yesu kristoIssues Siyo kuagiza sukari Tenda zilivyotokewa pumbafuuu Wewe
Mkuu, tuko kwenye nyumba ya maweHayo mambo ni Personal unayaletaje humu? 😳
Mkojo, kwema?Heri yeye kampiga tu!! Tunasikia wewe ulimuingilia wa kwako
Mpina anawakilisha wananchi wote wenye uchungu na nchi yao na siyo mafisadi ya ccm
wewe chawa wa basheWadau nadhani mmemjua vizuri sasa Mpina. Siku zote anastrugle kuungusha utawala wa samia. Kumbe ile skendo yake na bashe ni ili ahakikishe sukari inaadimika mtaani halafu wananchi wailaumu serikali.
Jana nimesikia wakulima au wazalishaji wa sukari wakilalamika eti sukari sasa hivi imejaa kwenye maghara ya serikali na hivyo wanataka kumpeleka bashe mahakamani kwa nini sukari imejaa wakati walitegemea iwe chache ili wauze bei juu.
Hongera bashe you have stood to you toes and won the battle.
Watu wanabubijikwa machozi ya furaha🤣🤣🤣🤣Lucas Mwashambwa mwingine huyu.
Siasa gani sasa hizo?Mkuu, tuko kwenye nyumba ya mawe
Mpina ahitaji hata mwanasheria kushinda hii kesiMbona mpina sasa anenda kuninginizwa mahakani!!
1.Mlaji anataka sukari iwepo tena kwa bei nafuu.
Kichwa mbovu sana huyu jamaa.Watu wanabubijikwa machozi ya furaha🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo Mpina anazalisha sukari?Wadau nadhani mmemjua vizuri sasa Mpina. Siku zote anastrugle kuungusha utawala wa samia. Kumbe ile skendo yake na bashe ni ili ahakikishe sukari inaadimika mtaani halafu wananchi wailaumu serikali.
Jana nimesikia wakulima au wazalishaji wa sukari wakilalamika eti sukari sasa hivi imejaa kwenye maghara ya serikali na hivyo wanataka kumpeleka bashe mahakamani kwa nini sukari imejaa wakati walitegemea iwe chache ili wauze bei juu.
Hongera bashe you have stood to you toes and won the battle.