Nadhani tatizo kuu la umasikini wa Watanzania linaanzia hapa...

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Unajijua kabisa huna Uwezo ( Fedha ) na Maisha mazuri kama GENTAMYCINE halafu kila mwaka Unampachika tu Mimba Mkeo huku ukiwa na sababu ya Kipumbavu ( Kipopoma ) kuwa kila Mtoto anakuja na Baraka zake.
 
Sasa tutafanyeje Ndio Asili yetu!🙉🙉🙉
 
Unajijua kabisa huna Uwezo ( Fedha ) na Maisha mazuri kama GENTAMYCINE halafu kila mwaka Unampachika tu Mimba Mkeo huku ukiwa na sababu ya Kipumbavu ( Kipopoma ) kuwa kila Mtoto anakuja na Baraka zake.

Watoto wawili au watatu wanatosha,hakuna haja ya kuwa na watoto wengii bila sababu ya Msingi ni kuwatesa bure kama huwezi wahudumia,matokeo yake unagengeneza watu wenye hali duni baadae.
 
Back
Top Bottom