FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Yaani jitu kisa limeweza kuafford kununua smartphone na kuweka bando basi linatiririka tu tetesi za ajabu ajabu anazojitungia kichwani kwake bila kufikiria Impact yake, eti kwamba kuna total lockdown hivyo kila mtu ajaze mahitaji yake ndani!
Jamani, hivi hayo mahitaji ya mwezi mzima huko masokoni watu wanapewa bure? Na hivyo vitu ni kwamba vyote vinaweza kuhifadhika kwa muda huo wa lockdown?
Mfano nyama na nyanya, sasa hii panic tunayopeana humu lengo lake nini kama si kufanya maisha ya wasionacho kuwa magumu zaidi ya yalivyo sasa? Maana si kila mtu anapesa ya kujaza chakula cha mwezi ndani, tusiwe wabinafsi wa kiwango hiki!
Binafsi ni mara 100 nife kwa Corona lakini sio njaa au kiu aisee, yaani mie mtoto wangu analia njaa ile kali serious halafu uniambie niko kwenye lockdown nisitokee?
Fikirieni jamani, mtoto wako wa kumzaa kabisa yuko mbele yako hapo analia njaa kali kabisa hajala na mama yake hana maziwa ya kumnyonyesha yamekauka kauka kau?
I swear, nitaua askari yeyote aliyembele yangu na nitaenda kumchemsha supu ya utumbo niokoe familia yangu, kama mnadhani tunatania jaribuni.
TUSITISHANE!