The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Mwenye mamlaka ni Ummy hata huyo MakondaTumuache mwenye mamlaka Makonda azungumze hahah.
Analeta ujuaji Kwenye Jambo ambalo sio la kuleta ujuaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye mamlaka ni Ummy hata huyo MakondaTumuache mwenye mamlaka Makonda azungumze hahah.
Chakula kitakuwa bei juu labda kama ulinunua mapemaa!Kwenye lockdown unaruhusiwa kutoka kununua dawa na chakula...sipendi lockdown!
Freedom of speechKimbelembele cha kujifanya wataalam wa kila kitu humu mitandaoni sio kizuri kipindi hiki..
Lockdown ije au isije tuache wenye mamlaka ndo wazungumze..
Huu sio mpira kila mtu ajifanye mchambuzi
Freedom of speech sio kibali cha kuzua taharuki..
Unahitaji utaalam kujua njaa inaua kwa mateso makali?Kimbelembele cha kujifanya wataalam wa kila kitu humu mitandaoni sio kizuri kipindi hiki..
Lockdown ije au isije tuache wenye mamlaka ndo wazungumze..
Huu sio mpira kila mtu ajifanye mchambuzi
Common sense is not commonUnahitaji utaalam kujua njaa inaua kwa mateso makali?
If you lack a sense that is deemed common then you are effectively insane, so are you?Common sense is not common
Sio kwamba una tishwa ni kwamba you are an idiot. Nanj kasema kukiwa na lock down huwezi kwenda kununua chakula? Una akili wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chakula unanunua na mk*nd$ wako?! Au na pesa? Hizo pesa unaletewa na mak*l€o yako bila kufanya kazi? Hivyo vitu madukani haviishi ukizingatia hakuna uzalishaji? Wewe ni taahira?Sio kwamba una tishwa ni kwamba you are an idiot. Nanj kasema kukiwa na lock down huwezi kwenda kununua chakula? Una akili wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asemee Dar yake huku kwetu kauli yake haifanyi kaziTumuache mwenye mamlaka Makonda azungumze hahah.
Mkuu, unanunua chakula kwa pesa ipi wakati unashinda ndani bila kufanya kazi? Au nyinyi ndiyo mnaamini kuwa Tanzania ni 'dona kantri' kuwa inaweza kutosheleza mahitaji ya watu wake.Sio kwamba una tishwa ni kwamba you are an idiot. Nanj kasema kukiwa na lock down huwezi kwenda kununua chakula? Una akili wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app