Nadhani watu wanaotaka kuleta taharuki ya tetesi za Lockdown nchi nzima wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali za kisheria

Nadhani watu wanaotaka kuleta taharuki ya tetesi za Lockdown nchi nzima wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali za kisheria

Tena mimi nina ahidi kabisa "Mh.Raisi magufuli ukiwachukulia hatua hawa wanaosambaza uzushi wa total lockdown"..yaani kura yangu umeipata bila wasiwasi,tena hesabu kabisa una kura moja kutoka kwa papi chulo mapemaaa
 
Kimbelembele cha kujifanya wataalam wa kila kitu humu mitandaoni sio kizuri kipindi hiki..

Lockdown ije au isije tuache wenye mamlaka ndo wazungumze..

Huu sio mpira kila mtu ajifanye mchambuzi
Unahitaji utaalam kujua njaa inaua kwa mateso makali?
 
Sio kwamba una tishwa ni kwamba you are an idiot. Nanj kasema kukiwa na lock down huwezi kwenda kununua chakula? Una akili wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Chakula unanunua na mk*nd$ wako?! Au na pesa? Hizo pesa unaletewa na mak*l€o yako bila kufanya kazi? Hivyo vitu madukani haviishi ukizingatia hakuna uzalishaji? Wewe ni taahira?
 
Iv kuna tofauti gani kati ya lock up na lock down. Ka.a ipo ni ipi?
 
Mimi nashangaa wanavyobinjua midomo, lockdown lockdown. Utadhani lockdown ni aina ya chakula fulani cha kuvutia.
Eti nunua mahitaji ya ziada, WTF. Ni watanzania wangapi wanaweza kununua chakula hata cha siku mbili?
Na wengi wa hao wanabet lockdown ili ikitokea waje hapa watambe ili waonekane wao wana maono ya kitume, ni upumbavu tu. Juwezi kutafuta faida binafsi kwa kubeti na maisha ya watu. Ni magonjwa mangapi yanaua watu kila uchao na hatujawahi kufanya lockdown?
 
Sio kwamba una tishwa ni kwamba you are an idiot. Nanj kasema kukiwa na lock down huwezi kwenda kununua chakula? Una akili wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, unanunua chakula kwa pesa ipi wakati unashinda ndani bila kufanya kazi? Au nyinyi ndiyo mnaamini kuwa Tanzania ni 'dona kantri' kuwa inaweza kutosheleza mahitaji ya watu wake.
Msijifanye hamjui hali ya maisha ya watanzania nyie watu.
 
Mwaka huu sijui nini kimempata mkuu mshana Jr ,alianza na utabiri wa simba na Yanga ...
 
Back
Top Bottom