Nadharia iliyoshiba kuhusu vifo na wendazao

Nadharia iliyoshiba kuhusu vifo na wendazao

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Mabibi na mabwana zimekuwapo nadharia nyingi na zingine nyepesi nyepesi kuhusiana na vifo na wendazao.

Mtumishi huyu wa Mungu katika udadavuzi wake kwa hakika ana hoja za msingi:



Kwamba pana vifo vya aina 4:

1. Uzee (wa miaka ma Mia wako hapa)
2. Vya kusababishwa na kusababishiwa (wa kwenye viroba wako hapa)
3. Mapenzi ya Mungu (vya kina Nyerere viko hapa).
4. Vya kijinga (kudharau corona vipo hapa).

Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kuendelea kutudadavulia sisi tulio waendazao watarajiwa.

Cc: Waheshimiwa Phillipo Bukililo, Bepari wa Bariadi
 
Tusitishane kuhusu vifo. Tusiuane kisha kudai ni mipango ya Mungu.

Pointi ya msingi: "Tusife kijinga."

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Uzi haukupata wachangiani kabisa

Vifo vinatisha wasio elimika.

Lengo la uzi huu ni kuwapo kwa rejea ili kuwanyamazisha washamba washamba wenye kupenda kutishia wenzao na vifo.

Mara ooh kwani wewe utaishi milele?

Kwa uzi huu kote uliko rejelewa waliufyata kama vile hawakupata kuwapo na maisha yanaendelea.

Wawili wao wapo pale carbon copied.

Umeelewa jombi?
 
Back
Top Bottom