Mabibi na mabwana zimekuwapo nadharia nyingi na zingine nyepesi nyepesi kuhusiana na vifo na wendazao.
Mtumishi huyu wa Mungu katika udadavuzi wake kwa hakika ana hoja za msingi:
Your browser is not able to display this video.
Kwamba pana vifo vya aina 4:
1. Uzee (wa miaka ma Mia wako hapa)
2. Vya kusababishwa na kusababishiwa (wa kwenye viroba wako hapa)
3. Mapenzi ya Mungu (vya kina Nyerere viko hapa).
4. Vya kijinga (kudharau corona vipo hapa).
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kuendelea kutudadavulia sisi tulio waendazao watarajiwa.