M mkata uzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2025 Posts 3,253 Reaction score 9,736 Jul 29, 2026 #1 Mfano wilaya kubwa ya huko Ruvuma, Lindi, Mneya, n.k. igeuzwe iwe ya kulima mahindi na maharage tu Kuna uwezekano watu wakapata uhakika wa mlo moja kila siku ?
Mfano wilaya kubwa ya huko Ruvuma, Lindi, Mneya, n.k. igeuzwe iwe ya kulima mahindi na maharage tu Kuna uwezekano watu wakapata uhakika wa mlo moja kila siku ?
M Mtu wa Mara JF-Expert Member Joined Apr 10, 2026 Posts 599 Reaction score 1,233 Jul 29, 2026 #2 Sato na Sangara ale nani mkuu
Ibilisi Mjalaana JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 8,297 Reaction score 16,529 Jul 29, 2026 #3 Muombe shemej hata afu5 ununue mbegu za mchicha upande hapo uani uone kama kilimo ni rahis