Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Multiple sclerosis: ni ugonjwa wenye sifa ya kuharibu ushikamanifu wa mfumo wa fahamu haswa kile kiwambo cha mafuta kinachoilinda mishipa ya fahamu.
Mara nyingi ikitokea huwa inatokea bila sababu kubwa ya kueleweka japo kama ilivyo ada watu huamua kujiaminisha kwamba labda ni vikemikali/sumu katika mazingira au ni vinasaba vimevurugika. Kama kawaida Uhakika huwa nakuwaga na maelezo yaliyojikita katika hizi imani tulizonazo katika jamii. Na imani hii ni ile imani katika Mungu. Ndio imani kwa Mungu.
Watu wasioamini katika Mungu kwa namna yoyote ile ndio wahanga wa kwanza wa hili tatizo. Ni kwa sababu: kama tu nilivyosema mwanzo kwamba vile sisi tunavyoishi na kuamini kuhusu ulimwengu ndiyo inakuja kuwa namna tunavyoishi na kuamini kama watu [jamii]. Na atharinyake inaendelea hadi kwenye imani ya seli zilizopo katika miilimyetu zitakavyoamini na kuenenda ndani ya miili yetu. Kama mtu haamini kwamba kuna mkuu wa huu ulimwengu, Muumbaji, Mungu au Mtunzi/Mbunifu wa haya yote. Yaani wewe mpe jina lolote tu alimradi liwakilishe Mwenyezi ambaye sisi pamoja na kila kilichoumbwa vinamtumikia. Kama mtu akiwa hana wazo la namna hiyo au imani. Kuna uwezekano mkubwa hata seli katika miili hiyo nazo kuishi kwa imani ileile na kupelekea kupuuzia chochote ambacho ubongo au mfumo wa fahamu utaziambia (kumbuka wenyewe[mfumo wa fahamu] ndio kiongozi). Kwa hiyo mwishoni michakato mbalimbali itapelekea katika majeraha na fujo zote zinazoonekana kwa wagonjwa hawa. Naomba kusisitiza hapa kuwa sisemi kwamba huu ni ugonjwa wa wasioamini Mungu tu. Hapana. Bali imani yoyote ile inayoendana na hizo, iwe ni kwa kushuku au hata kuamini kimakosa vile Mungu alivyo nayo pia ni hatari. Kwa mfano kufikiri kwamba Mungu anabashiribashiri, anatumia bahatinasibu au hayuko na hakika katika namna ya kubainisha kusudi la mambo kiasi ambacho sisi hatuioni sababu mara nyingi [Binafsi naamini kuwa ukiwa mwelewa na Kusudi la Mungu utaiona Hekima yake kuu]. Yote hayo yatapelekea mtu kufikirinkwamba ulimwengu mzima haueleweki/haukomakini na kila jambo linajitokesa tu bila kusudilolote, kwa hiyo anaweza kuendelea kwenye hayo matatizo ya mfumo wa neva, saratani na fujo nyingine katika mwili.
Kwa hiyo imani katika Mungu inaweza kuwa ni njia ya kupata nafuu na kupona ugonjwa huu wa neva[MS], kupooza na magonjwa yote mengine.
Jaribu kumtafuta Mungu wa kweli, na uwe makini! maana yeye YUKO AMBAYE YUKO. Kwa hiyo kuna hatari ya wewe kufinyanga na kumfanya vile unavyofikiri ndivyo alivyo. Kama ukiamua kumchagua yule wa bahati nasibu, mwanangu hiyo itakuwa ni juu yako. Kwa kuwa haijalishi unamuita Mungu kwanjina gani bali haswa ni zile zifa unazoziamini kumhusu huyo mungu. Ili kumpata yule wa kweli wewe waulize tu watu wenye afya. Uliza kwa Waislamu wenye afya, waulize Wakristu wenye afya, uliza Marastafari walio na afya, Mabudha, Wahindu, Uliza kwa Wanasayansi wenye afya. Huyo utakayemfahamu baada ya uchunguzi wako binafsi kuutafuta ukweli ndiye umuabudu maana kwanza kuabudu sikuzote ni jambo lamtu binafsi na Mungu ujue. Katika wote hao utampata Mungu anayeishi anayestahili kuabudiwa lakini ninakusihi usijaribu, tena usije ukajaribu kuishi bila kuwa naye [Mungu].
Nakuombea umpate Mungu wa kweli katika maisha yako.Aamen.