WoS,
Yes feminism ni movement ambayo ipo katika jamii na lazima kuna explanations zake. Kule juu nimeandika kuwa wanaume ndo wako responsible na kuweka familia (wanajenga territories), wameweka mila na desturi (overwhelming majority ya mila zina-bend kuwalinda wanaume) na vile vile wameweka dini (dini karibu zote zina mafundisho yanayo-bend kuwalinda wanaume). Falme karibu zote zilianzishwa na wanaume, na wafalme wote wanajulikana kwa jinsi walivyokuwa wakitumia falme zao kujipatia wake wengi na kuzaa nao. Kinachosababisha feminism kuwepo na kusiwe na similar movement kwa upande wa wanaume ndo hicho nilichoeleza. Jaribu kufanya observations!