Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
wewe mutoto kila ndoa na style yake usiogope
ok ngoja niingie huko ndoani then ntajua kama haya yana ukweli or not si unajua prectise makes perfect
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe mutoto kila ndoa na style yake usiogope
Asante kwa kuweka nadharia hii hapa tena kwa lugha nyepesi maana waliochanganua hii nadharia akina Darwin kwenye miaka ile ya 1880's na nadharia ya sexual selection na evolution walifafanua vizuri tu ila ndio hivyo siyo wengi wameipitia na kuidadavua kuiweka katika lugha nyepesi. Kwa kifupi ulichosema ndicho kinachopelekea utata mwingi kwenye mahusiano na hata behaviours za wanawake na wanaume. Umeniacha hoi ulipooanisha na Feminism. Hapo sijui kama nakuunga mkono lakini ni jaribio zuri.
hahaha WoS hapo nilijua lazima ungecomment tu.,.....
Acha kufuru mkuu 🙂MUNGU WALA MILA HAVINA NAFASI