Nadharia ya miaka 1,000 duniani ni sawa na siku moja mbinguni si sahihi kabisa

Basi sawa mkuu..
Nishawahi muuliza huyo

Dini ya kweli ni ipi akanambia uislamu

So wakristo wanaabudu pumbu ...

Yaan i was terrified

Nlchukia sana

Huwa nashangaa sana muda wa kutetea uwepo wa Mungu tunashirikiana nao

Tukitoka huko wanaanza kutusema na huwezi kuta mkristo anamsema mwislamu labda mara chache sana

Ni watu wanashangaza sana

I have ignored that mani his insanity ni maradufu
 
Hahahaaa umenifurahisha asee kama kawaida yako! Jamaaa hua nashindwa kumuelewa kabisa. Kaweka mentality ya udini kuliko ufikiri
 
Hahahaaa umenifurahisha asee kama kawaida yako! Jamaaa hua nashindwa kumuelewa kabisa. Kaweka mentality ya udini kuliko ufikiri
Hebu Imagine mkuu huyu bwana anakwambia jua ndo linaizunguka dunia 😅

Ni mambo ya ajabu sana

Nmempa swalehe stori za huyu bwana kuhusu hilo suala la solar .....amecheka sana
 
Hebu Imagine mkuu huyu bwana anakwambia jua ndo linaizunguka dunia 😅

Ni mambo ya ajabu sana

Nmempa swalehe stori za huyu bwana kuhusu hilo suala la solar .....amecheka sana
Mkuu sio yeye kwao elimu ya sayansi wameipa kisogo so hua hawajui kitu
 
Mkuu sio yeye kwao elimu ya sayansi wameipa kisogo so hua hawajui kitu
hivi kuna ushahidi wowote unaoonesha kwamba jua halimove..?

tukiachilia maneno matupu ambayo kila mtu anaweza kusema lake, je kun ushahidi unaoonesha jua halimove..?
 

Da Vinci shida yako unafanya uchambuzi wa mambo bila kufanya utafiti hata kidogo wa kifikra. Hivyo basi unakosa majawabu kwa mambo unayojaribu kuyapatia ufumbuzi...
Ngoja nikupe angalau mbinu za wewe kuyajua mambo.

1. Inatakiwa kujifunza kwa jina la Aliekuumba
2. Kwa sababu ni Muumba wako pekee aliemfundisha mtu wa Mwanzo mambo asioyoyajua..
3. Akili yako inatakiwa iwaze nje ya mipaka yake..mf ulikuwa wapi kabla ya kuja katika sayari hii ya dunia..
4. Jaribu kufanya jambo dogo sana.la kunyoosha kivuli cha mti uliopinda..
5. Jipime na ujifunze kutofautisha kati matter not matter..
Kama umenielewa utakuwa umeuwelewa huo msemo "Siku moja mpinguni ni sawa na miaka 1000 duniani".
 
Sikuachi Gizani jamaa yangu inatakiwa ufahamu kuna aina mbili za time na period..
1.Muda na Wakati kabla ya "Uumbaji",
2.Muda na wakati baada ya "Uumbaji".
1,(a)Siku 6 za uumbaji na ya saba ya mapumziko.hazikua na system yoyote ya galaxy wala hakukuwa na jua na mwezi na wala hazikuwa na 24 hrs wala usiku na mchana.
Fanya utafiti kulikuaje..hii ni kanuni ya kuwaza nje ya box.
2(a)Muda na wakati baada ya uumbaji..Zimewekwa kwa malengo maalumu..
1,kutuwezesha kutunza hesabu za miaka.
2.Kutuwezesha kupanga mikakati.Mipango na shughuli za kila siku.

Kwa taarifa tu..muda na wakati huu una ukomo.na ukomo wake ni pale tu jua litakapozima..
Hivyo basi muda na wakati kabla ya Uumbaji hazina ukomo wakati Muda na wakati baada ya uumbaji una ukomo..
Nakusihi na kukuasa unapojaribu kuanzisha mada lazima uwe na ufahamu nayo Punguza kukurupuka kwenye mambo yanayohusu mambo ya kiroho.
 
Huu msemo upo sahihi kwasababu ya kutufundisha wanadamu na viumbe hai kwasababu muda ndio huathiri maisha yetu lakini kwa Mungu hakuna muda wa mwanzo wala wa mwisho

Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.
Utunuo wa Yohana 1:8

Akaniambia, Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Mimi nitampa yeye mwenye kiu, ya chemchemi ya maji ya uzima, bure.
Ufunuo wa Yohana 21:6

Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho.
Ufunuo wa Yohana 22:13
 
Mimi hunichanganya sana mkuu..
 
Muda umeanza kutokea baada ya Uumbaji wa Mungu. Huo msemo una maana ya kuwa Mwenyezi Mungu hajafungwa katika muda, ila Yeye ndio ameuumba muda. Ndio maana siku moja ni kama miaka elfu na miaka elfu ni kama siku moja.
 
Muda umeanza kutokea baada ya Uumbaji wa Mungu. Huo msemo una maana ya kuwa Mwenyezi Mungu hajafungwa katika muda, ila Yeye ndio ameuumba muda. Ndio maana siku moja ni kama miaka elfu na miaka elfu ni kama siku moja.
Ahsante sana mkuu.
Kwa kuongeza point.. so kwa Mungu hakuna muda right?
 
Ahsante sana mkuu.
Kwa kuongeza point.. so kwa Mungu hakuna muda right?

Kaka kuna vitu tunajifikirisha bila hata sababu za kufikiri.Muda ni kiumbe kama upepo. njaa, Joto, baridi,Kifo,Uhai na vingine vingi ambavyo bado hatujafanikiwa kuvifaham..kuna kanuni na taratibu ambazo muda umewekewa na muumba wake.akina muda wapo wengi kama zilivyo Galaxy.wapo wakubwa na wadogo

Kwa muktadha huo ni kwamba jambo tunalolijadili ni sawa na kuwazungumzia mbingu na Ardhi.wao ni kitu kimoja japo hakuna hata Binaadam mmoja anaijua mbingu hali yakua upeo wa macho yetu unatuambia ile ndio mbingu.

Akili zetu wanaadam zimefungwa kama namba kuna 0 mpaka 9, hakuna zaidi ya hapo..ili uufaham ulimwengu huu na alieumba inakupasa utoke nje ya mfumo huu wa kufikiri ulionao kama hutoweza basi tambua utafikiri kuanzia 0 mpaka 9 na abadani hutoweza kupata jibu la kitu chochote kinachotatanisha katika ulimwengu huu.
"Huwezi kuhadithia uchungu wa kifo kabla haujafa".Umenielewa....
 
Wewe si muislamu halisi kama unathubutu kuyapinga maneno ya mtume Muhammad (s.a.w) juu ya ukristo
 
Wewe si muislamu halisi kama unathubutu kuyapinga maneno ya mtume Muhammad (s.a.w) juu ya ukristo
Maneno gani ya mtume nimeyapinga kaka ? Embu niwekee hapa nibadilishe kauli yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…