Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka unaingia kaburini tena mkae na wakubwa zenu walio wazidi katika elimu hamuwezi kuthibitisha hili mnalo dai.Uislamu ni project ya Waroma
Hakuna nguvu inayotumiwa,sababu nyinyi mnaokanusha mnashindwa kuthibitisha ya kuwa Yesu sio Issa. Hili pia hamuwezi kuthibitisha mpaka mnakufa. Kuna maswali mengi nimewauliza kwenye uzi husi na jambo hili,ila sijabiwa na hamuwezi kuyajibu maswali yale.Kwanini mwa tumia nguvu nyingi kumfanan8sha issa wenu na Kristo
Mbona mwisho umemalizia ~Da' Vinci?
Sawa. Unaonekana unapenda kuishughulisha sana akili yako. Nimekupenda Bure. Unapenda pia kusoma na kujifunza mambo ambayo wengi wanaona ni magumu kuyasoma/kujifunza.Ndio jina nililikua nalitumia zamani paula
Yeap mkuu umesema kweli.. My superpower I'm too Ambitious.Sawa. Unaonekana unapenda kuishughulisha sana akili yako. Nimekupenda Bure. Unapenda pia kusoma na kujifunza mambo ambayo wengi wanaona ni magumu kuyasoma/kujifunza.
Pia kuna viumbe wadogo kuliko binadam mfano wa sisimizi, bakteria au mbu na wengine wadogo zaidi ambao life span yao ni masaa 24 au pungufu?Ila ni ngumu kuiamini hii eti tangu Yesu azaliwe leo ndio siku ya pili mbinguni duh!
Pasri wangu kathibitisha kwa Mungu hakuna Muda
Bora weweNilichoelewa mimi na akili yangu ya KVANT KUBWA ni
Wanaposema miaka 1000 kwake ni sawa na siku 1.anatumbusha viumbe wake kuwa yeye hapotezi KUMBUKUMBU.
Kwa binadamu ni rahisi na kawaida kukumbuka ratiba na mizunguko yake yote aliyoifanya jana (tarehe na mwezi wa jana mwaka huu) lakini asikumbuke route au mizunguko,ratiba yake aliyoifanya tarehe na mwezi wa jana ya (mwaka uliopita)..
Mfano wakati una miaka mitatu uliwahi kuiba andazi sokoni(hiyo ni dhambi ulifanya). Lakini leo hii hukumbuki chochote na unaweza ukajiona huna dhambi duniani..kisa ni muda mrefu umepita...lakini kwa Mungu hatasahau atalikumbuka tukio lako lote kama vile limefanyika muda mfupi uliopita(saa au siku moja iliyopita)
Hivo utakumbushwa na kuhukumiwa vile vile...asante ngoja niendele kunywa KVANT yangu
Yesu hawezi kuwa msela issaHakuna nguvu inayotumiwa,sababu nyinyi mnaokanusha mnashindwa kuthibitisha ya kuwa Yesu sio Issa. Hili pia hamuwezi kuthibitisha mpaka mnakufa. Kuna maswali mengi nimewauliza kwenye uzi husi na jambo hili,ila sijabiwa na hamuwezi kuyajibu maswali yale.
Poa.Yesu hawezi kuwa msela issa
Hapo kidg umeleta maana xo ili uweze kuelewa ya mbinguni lazima ufungamane na roho mtakatifu.Nikubaliane na mleta post kwa hoja yake ya Mungu kutokuwa na kipindi cha wakati yaani yeye ni wa eternally hana mwanzo wala mwisho.
Nino hili la kiswahilili "milele" linapotumika ndani ya maandiko matakatifu limeonyesha kuwa ni kupindi cha wakati maalumu. Kama utaielewa lugha ya biblia mwanzo ambao ni ilipoanzia nyakati ni baada ya anguko la Adamu. Kabla ya hapo kulikua na umilele. Sasa baada ya anguko kukawa na kupungukiwa na utukufu wa Mungu kwa mamkind. Huu upungufu umetuwekea veil . Kiasi kwamba mapana ya ulimwengu wa roho ulio mbali sana na huu wa mwili umepotea kwa mamkind unless otherwise.
Kwa watu waliojaliwa mfano wa manabii wamepewa uwezo wa kuona ambayo watu wengi wa kawaida hawaoni wala kufahamu kwayo.
Ili Mungu kuchukuana na watu wa stara(pazia) imebidi itumike lugha ya mfano. Na hasa akitolea mifano vitu vinavyofahamika katika mazingira yetu wanadamu. Kwa suala la hii miaka imetumiwa lugha ya 'kama' sii halisi. "Mwaka mmoja ni kama miaka elfu".
No wonder Bwana Yesu aliwaambia wanafunzi wake hasa wale tenashara "Kama ikiwa naongea na ninyi yaliyo ya kidunia hamuelewi itakuwa vipi nikiwazungumzia ya mbinguni?"
Hata hivyo sii kwamba mtabaki vipofu kwa ya uhaibuni bali
"Yafaa mimi niondoke ili yule msaidizi niliyewaambia habari yake kutoka kwa Baba aje naye ni Roho mtakatifu"
Ndio kusema kuna kuachana mbali kati ya hekima ya kibinadamu na hekima ya Mungu.