Nadharia ya miaka 1,000 duniani ni sawa na siku moja mbinguni si sahihi kabisa

Mpaka unaingia kaburini tena mkae na wakubwa zenu walio wazidi katika elimu hamuwezi kuthibitisha hili mnalo dai.
Kwanini mwa tumia nguvu nyingi kumfanan8sha issa wenu na Kristo
 
Maana yake Mungu hayupo limited na muda.

Mwenyezi Mungu alikuwepo kabla ya kuumbwa kwa dunia hii, ikiwemo na muda. Na ataendelea kuwepo hata baada ya muda huu kuisha.

Ndio maana tunasema milele yote tukimaanisha hatuwezi kupima kwa muda wetu huu wa kibinadamu.
 
Kwanini mwa tumia nguvu nyingi kumfanan8sha issa wenu na Kristo
Hakuna nguvu inayotumiwa,sababu nyinyi mnaokanusha mnashindwa kuthibitisha ya kuwa Yesu sio Issa. Hili pia hamuwezi kuthibitisha mpaka mnakufa. Kuna maswali mengi nimewauliza kwenye uzi husi na jambo hili,ila sijabiwa na hamuwezi kuyajibu maswali yale.
 
• Yesu ni Mungu ila Isa sio Mungu.

• Yesu alikufa, akafufuka na kupaa mbinguni tofauti na huyo mnayemuita Isa.
 
Shida mnataka kujifunza Ukristu kupitia Uislam, hamwezi kamwe kuuelewa kama ambavyo haiwezekani kuuelewa Uislam kupitia Ukristu.

Lakini; historia, saikolojia na teolojia zinathibitisha wazi imani ipi ilikuwa ni matokeo ya kufanya plagiarism, na kuongezea chumvi kidogo, kutoka imani nyingine.
 
Ndio jina nililikua nalitumia zamani paula
Sawa. Unaonekana unapenda kuishughulisha sana akili yako. Nimekupenda Bure. Unapenda pia kusoma na kujifunza mambo ambayo wengi wanaona ni magumu kuyasoma/kujifunza.
 
Sawa. Unaonekana unapenda kuishughulisha sana akili yako. Nimekupenda Bure. Unapenda pia kusoma na kujifunza mambo ambayo wengi wanaona ni magumu kuyasoma/kujifunza.
Yeap mkuu umesema kweli.. My superpower I'm too Ambitious.
Ahsante kwa upendo
 
Ila ni ngumu kuiamini hii eti tangu Yesu azaliwe leo ndio siku ya pili mbinguni duh!
Pia kuna viumbe wadogo kuliko binadam mfano wa sisimizi, bakteria au mbu na wengine wadogo zaidi ambao life span yao ni masaa 24 au pungufu?

Sasa hao viumbe wanapoishi kwa masaa machache huwezi jua na wao huona kama vile wameishi miaka 100 kumbe ni siku moja tu kwa upande wa binadam. Who knows kwamba kwenye hii universe kuna super giants ambao life cycle yao ni kubwa kuliko sisi binadam na wanatuona sisi kama sisimizi au bakteria?
 
Pasri wangu kathibitisha kwa Mungu hakuna Muda
 
Pasri wangu kathibitisha kwa Mungu hakuna Muda


Muda upo lakini hauna kazi, ni sawa na jongoo aseme mwanga hakuna kwasababu hana macho ya kuona mwanga, ndivyo itakavyokuwa huko mbinguni muda utakuwepo lakini utakuwa useless, hii ni sawa na mtu aliye usingizini ambamo muda hauna nafasi japo upo na ndiyo maana ukiwa katika ndoto huwezi kujua muda wa ndoto hadi uamkapo, na unapoamka tayari muda unakuwa na nafasi kwasababu muda unaendana na space (space-time).
 
Bora wewe
 
Yesu hawezi kuwa msela issa
 
Hapo kidg umeleta maana xo ili uweze kuelewa ya mbinguni lazima ufungamane na roho mtakatifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…