CreativityCode
Senior Member
- Aug 8, 2020
- 158
- 653
Wandugu,
Baada ya kufuatilia kwa kina kinachoendelea mahakamani naweza kuja na nadharia ifuatayo. Freeman Mbowe alimuomba Denis Urio amtafutie walinzi.
Lakini kwa kuwa DCI alikuwa anafuatilia kwa ukaribu mawasiliano ya kila siku ya simu ya Mbowe aliona kuna connection na Denis Urio hivyo akamuita kupata uhakika.
Alipoelezwa kuwa FAM anahitaji walinzi basi akamshawishi Urio kweli amtafutie walinzi lakini baadaye wawageuke kwa kutunga uongo wa ugaidi.
Hii ni nadharia iliyoniijia kichwani.