CreativityCode
Senior Member
- Aug 8, 2020
- 158
- 653
Nachukia sana serikali zetu za ki communist zote. Zina mambo ya hovyo sana na kunyanyasana kusiko sababu.Wandugu,
Baada ya kufuatilia kwa kina kinachoendelea mahakamani naweza kuja na nadharia ifuatayo. Freeman Mbowe alimuomba Denis Urio amtafutie walinzi. Lakini kwa kuwa DCI alikuwa anafuatilia kwa ukaribu mawasiliano ya kila siku ya simu ya Mbowe aliona kuna connection na Denis Urio hivyo akamuita kupata uhakika. Alipoelezwa kuwa FAM anahitaji walinzi basi akamshawishi Urio kweli amtafutie walinzi lakini baadaye wawageuke kwa kutunga uongo wa ugaidi.
Hii ni nadharia iliyoniijia kichwani.
Yaweza kuwa kweli pia.Kwa swali aliloulizwa shahidi na Malya leo, inaonekana Urio ndiyo aliyesuggest kumtafutia vijana wa kumlinda Mbowe alipomtembelea kipindi kile ameshambuliwa na kujeruhiwa na wahuni
View attachment 2097797
View attachment 2097798
Yawezekana pia. Ila mbona Urio ni kama vile hakuguswa? na ameingiza mambo ya ugaidi na anayatetea?Sio kweli isipokuwa baada wadau waliotaka wamdhuru Mbowe na kuona jamaa ana ulinzi mkali ndio wakaamua kuwakamata hao walinzi kisha baada hao walinzi kushikwa ndio walioenda kulazimisha wataje mpango mzima na hata kumtaja huyo boya Urio
hatari, kungekuwa kuna kufa mara mbili ningeomba magufuli afe tena, yote hayo aliyabarikiKuna ukweli hapo. Kwa siasa za Arusha na Hai zilivyokuwa, Mwenyekiti na Mh Lema walistahili kupata ulinzi unaoeleweka. Mambo waliyokuwa wakifanya Gambo na Sabaya ni ya hovyo kabisa. Sabaya na FM walikuwa maadaui wakubwa.
Kibano mkuu ndio kinamfanya ajitoe akili, lakini pia kama mwanadamu akili imechoka amekaa mahabusu vya kutoshaYawezekana pia. Ila mbona Urio ni kama vile hakuguswa? na ameingiza mambo ya ugaidi na anayatetea?