LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema " You can know the artist by studying his art"
Unaweza kumjua msanii kwa kuisoma sanaa yake...
Babu zetu walimuabudu na kumsujudu Mungu baada ya ku study kazi ya mikono yake.
Walipotazama, jua, mwezi, nyota etc , walipo jitazama wao wenyewe mfano jinsi mwanamke anavyo pokea mbegu za kiume halafu baada ya miezi Tisa anazaliwa mtoto alie kamilika, walisema hakika huyu ambae amefanya yote haya kuwa ata kuwa ni mwenye maarifa ya juu sana anae stahili kuabudiwa.
Unaweza kujua Lengo au sababu kwanini artist ametengeza art yake kwa kutazama kazi ya hiyo. Art.
Kwa mfano kwa ku observe kazi za jua ( kuleta mvua, mvua kuleta chakula, miti kivuli etc) tunasema kwamba jua lipo kwa ajili ya ku sustain life.
Ukitazama mito, maziwa, mimea mbalimbali etc unaweza ku conclude kwanini ipo duniani.
Ukimstudy binadamu na kile anacho ki contribute kwenye nature subconsciously utagundua kwamba binadamu aliumbwa duniani kwa ajili ya kuzalisha hewa ya carbon dioxide. ( why and how?) It will be a topic for another day
N. B: Ndio maana binadamu hutoa Carbon dioxide sio kwa kupenda kwake bali hutoa hewa hiyo automatically ( subconsciously)