Nadizaini logo ambazo zinaambatana na offer kadhaa kama letter head (MS Word) pamoja na dizaini ya business card au tangazo la kupost mtandaoni

Dizaigner

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2023
Posts
306
Reaction score
171
Habari? Nafanya Ubunifu wa Logo katika ubora unaoridhisha.. na pia unapata na offer ya letterhed Design na Business card au Tangazo la kupost mtandaoni.

BEI ZA LOGO
80K= Logo+B Card+Letter head (Softy Copy)

70K= Logo+B Card, Letter head au Tangazo (Softy Copy) kimojawapo
60K= Logo pekee

BEI ZA KUDIZAIN TANGAZO LA KUPOST
20K= Kwa POSTER moja. (Softy Copy)
Lakini kuna bei ya package kwa wanaohitaji POSTER nyingi bei inakuwa nafuu


Tazama Kazi zangu Kisha ukiridhishwa naomba tufanye Kazi.

Whatsapp/Call 0765 680 241


View attachment 2637586










 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…