kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Zamani nilipokua naona watu wakimiliki magari na mimi nilikua na pikipiki nilijiona dhalili sana na mnyonge.
Nilikua naona wenye magari kama watu waliopendelewa sana, na wenye pesa, lakini gari zenyewe sikuhizi hata milioni tatu au nne au tano unapata Suzuki au vitz old model used.
Baada ya kuwa na gari Vitz new model najihisi kudhalilika sana pale napopishana na V8, Range rover sport na gari nyingine za kishua yaani unajihisi mnyonge na kale kamsemo kwamba jamaangu unaendesha vigari vya kike mara mwanangu unaendesha kibaby walker[emoji1787][emoji1787].
Huu mwaka hautaisha bila kuchukua range mpya.
Je, wewe umeazimia kuwa na aina gani ya gari mwaka huu au kwa future.
Note: Hapa sio mawazo ya kuwaza magari ya ndotoni hapa nazungumzia wenye magari au pesa washaanza kuweka na wana uhakika wa kuwa na gari husika.