Nadunduliza nichukue Range Rover mwaka wangu huu

Nadunduliza nichukue Range Rover mwaka wangu huu

Ndoto yako imekua toka pikipiki hadi gari za kawaida na ilitimia. Sasa inaelekea kutimia kwenye gari kali. Hongera mkuu.

Utakakapozizoea gari kali bila shaka ndoto utaihamishia kwenye ndege binafsi.
 
Ndoto yako imekua toka pikipiki hadi gari za kawaida na ilitimia. Sasa inaelekea kutimia kwenye gari kali. Hongera mkuu.

Utakakapozizoea gari kali bila shaka ndoto utaihamishia kwenye ndege binafsi.
Mungu mwema muombe atakupa japo Mimi ugonjwa wangu nikiiona
V8 mbele yangu huwa nazimia kwanza namuomba Mungu usiku na mchana iwe ndivyo
 
Wazee wa lift"unaelekea wapi mkuu niache mbele hapo kiongozi"wanawachabo tu kwa mbaali
 
word of caution, magari/pikipiki za Ulaya hazimilikiwi na malofa. make sure you are good financially. service tu inakula +450k, hakuna spare utapata chini 100k. mafuta ya vidumu hayaingii.
Jipange mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Mafuta ya vidumu umenikumbusha juzi kuna sehemu nilipita na washikaji tukakuta jamaa gari yake imezimika ni cluger, tukamuuliza shida nini akasema imeegemea upande so mafuta nayo kwenye tank yameinama ndio maana haiwaki.

Tukamsukuma ilipokaa sawa akawasha akaondoka. Nikawambia washikaji usinunue tu gari ili watu wakuone huku mafuta unajaza ya vibaba
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mafuta ya vidumu umenikumbusha juzi kuna sehemu nilipita na washikaji tukakuta jamaa gari yake imezimika ni cluger, tukamuuliza shida nini akasema imeegemea upande so mafuta nayo kwenye tank yameinama ndio maana haiwaki.

Tukamsukuma ilipokaa sawa akawasha akaondoka. Nikawambia washikaji usinunue tu gari ili watu wakuone huku mafuta unajaza ya vibaba
Kluger naipenda sana
 
Zamani nilipokua naona watu wakimiliki magari na mimi nilikua na pikipiki nilijiona dhalili sana na mnyonge.

Nilikua naona wenye magari kama watu waliopendelewa sana, na wenye pesa, lakini gari zenyewe sikuhizi hata milioni tatu au nne au tano unapata Suzuki au vitz old model used.

Baada ya kuwa na gari Vitz new model najihisi kudhalilika sana pale napopishana na V8, Range rover sport na gari nyingine za kishua yaani unajihisi mnyonge na kale kamsemo kwamba jamaangu unaendesha vigari vya kike mara mwanangu unaendesha kibaby walker
emoji1787.png
emoji1787.png
.

Huu mwaka hautaisha bila kuchukua range mpya.

Je, wewe umeazimia kuwa na aina gani ya gari mwaka huu au kwa future.

Note: Hapa sio mawazo ya kuwaza magari ya ndotoni hapa nazungumzia wenye magari au pesa washaanza kuweka na wana uhakika wa kuwa na gari husika.
Very good!
nimeangalia bei ya chini ya gari hiyo used monney (USD) 99,227.94 Sawa na 229,215,541.40 na kodi yake itakuwa 132,050,861.64 na kufanya thamani ya gari hii kuwa 361,267,402.40 na kila mwaka itapungua thamani kwa shillingi 72,253,480.48 hivyo baada ya miaka mitano insurance hawataweza kukulipa zaidi ya hiyo 72,253,480.48
kwa hiyo kwa kila mwaka utakuwa unapoteza mil72 nje ya matengenezo na bei ya mafuta.
safari zako nyingi hazihitaji gari hilo
kumbuka mafuta yake ni petroli bila robo tank no safari
 
Sababu ya kuwepo duniani ukiichunguza inashangaza. Wakati mwingine nahisi kama tunakimbizana na sababu tofauti na sababu ya sisi kuwepo duniani.

Wakati nipo mtoto TV na game ilikiwa big deal, TV ikaletwa nikaizoea, Nikaanza kuona TV bila deki ts nothing, Deki ikaletwa nikatumiaa weee nikazoea nikaona kawaida wala sina time nayo, simu zikaingia nikakimbizana nazo kweli nikiwa na hii nakaa kidogo nataka ile nikazoea na hapo nikawa utu uzima umeshagonga hodi. Nikatekwa na magari, nunua hili uza nunua lile uza nunua hili 🤣🤣🤣.... Mwisho hujali tena una gari gani zaidi ya kutaka uwe na dereva. Nina ndugu yangu aliyenitangulia yeye anakimbizana na nyumba tu. Jenga hii, Jenga ile bomoa hii weka fensi sijui kisima 😆. Mwisho tunakufa halafu wengine nao wanaendeleza mbio za kukimbizana na uchumi na vitu.
Hii hali pia ninayo na mimi
Ukiwaza sana jinsi tunavyokimbizana na maisha unaona kama mtu una enda mbali zaidi
Ila kutokana na tabia tunazokutana nazo za watu unaona pesa inahitajika zaidi ili tuoneshane adabu la sivyo utaishi kinyonge
 
Kutoridhika na hivyo kuendelea kukimbizana ndio husababisha maendeleo ya binadamu na mazingira yake.
 
Back
Top Bottom