Nadunduliza nichukue Range Rover mwaka wangu huu

Ndoto yako imekua toka pikipiki hadi gari za kawaida na ilitimia. Sasa inaelekea kutimia kwenye gari kali. Hongera mkuu.

Utakakapozizoea gari kali bila shaka ndoto utaihamishia kwenye ndege binafsi.
 
Ndoto yako imekua toka pikipiki hadi gari za kawaida na ilitimia. Sasa inaelekea kutimia kwenye gari kali. Hongera mkuu.

Utakakapozizoea gari kali bila shaka ndoto utaihamishia kwenye ndege binafsi.
Mungu mwema muombe atakupa japo Mimi ugonjwa wangu nikiiona
V8 mbele yangu huwa nazimia kwanza namuomba Mungu usiku na mchana iwe ndivyo
 
Wazee wa lift"unaelekea wapi mkuu niache mbele hapo kiongozi"wanawachabo tu kwa mbaali
 
word of caution, magari/pikipiki za Ulaya hazimilikiwi na malofa. make sure you are good financially. service tu inakula +450k, hakuna spare utapata chini 100k. mafuta ya vidumu hayaingii.
Jipange mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Mafuta ya vidumu umenikumbusha juzi kuna sehemu nilipita na washikaji tukakuta jamaa gari yake imezimika ni cluger, tukamuuliza shida nini akasema imeegemea upande so mafuta nayo kwenye tank yameinama ndio maana haiwaki.

Tukamsukuma ilipokaa sawa akawasha akaondoka. Nikawambia washikaji usinunue tu gari ili watu wakuone huku mafuta unajaza ya vibaba
 
Kluger naipenda sana
 
Very good!
nimeangalia bei ya chini ya gari hiyo used monney (USD) 99,227.94 Sawa na 229,215,541.40 na kodi yake itakuwa 132,050,861.64 na kufanya thamani ya gari hii kuwa 361,267,402.40 na kila mwaka itapungua thamani kwa shillingi 72,253,480.48 hivyo baada ya miaka mitano insurance hawataweza kukulipa zaidi ya hiyo 72,253,480.48
kwa hiyo kwa kila mwaka utakuwa unapoteza mil72 nje ya matengenezo na bei ya mafuta.
safari zako nyingi hazihitaji gari hilo
kumbuka mafuta yake ni petroli bila robo tank no safari
 
Hii hali pia ninayo na mimi
Ukiwaza sana jinsi tunavyokimbizana na maisha unaona kama mtu una enda mbali zaidi
Ila kutokana na tabia tunazokutana nazo za watu unaona pesa inahitajika zaidi ili tuoneshane adabu la sivyo utaishi kinyonge
 
Kutoridhika na hivyo kuendelea kukimbizana ndio husababisha maendeleo ya binadamu na mazingira yake.
 
Hii hali pia ninayo na mimi
Ukiwaza sana jinsi tunavyokimbizana na maisha unaona kama mtu una enda mbali zaidi
Ila kutokana na tabia tunazokutana nazo za watu unaona pesa inahitajika zaidi ili tuoneshane adabu la sivyo utaishi kinyonge
Kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…