Nadunduliza nichukue Range Rover mwaka wangu huu

Braza maisha siyo mashindano, siku zote angalia uliowaacha nyuma na siyo mbele.

Hata ukinunua hiyo Range Rover bado huta ridhika maana Kuna watu Wana Gari za million 800. Hapa hapa bongo bado utajihisi mnyonge.

Unyonge upo mawazoni mwako na siyo watu wanakuzunguka.
 
Mkuu range haitaki hela ya kudunduliza kuwa makini sana...jitahidi matatizo madogo madogo hasa ya umeme urekebishe mwenyewe
 
Siyo kila mmoja anajihisi kama wewe. Kwani, maisha si matoi au magari ya bei mbaya.Sie wengine ulevi wetu ni mijengo ya bei mbaya na akiba nono ya uzeeni.
 
Cruise auto spare ni wauzaji wa spear party za magari
Jeep,
BMW,
Audi,
Land rover,
Porsche,
Volkswagen,
Chrysler,
Range/Land rover

Duka linapatikana MAKAO MAPYA,EDEN ROAD jirani na cafe laziz restaurant,Arusha

Kwa mawasiliano piga +255743805465,+255786050747
Email:cruisespares@gmail.com
Fb&IG:cruiseautospareparts

Pia usisite kuwasiliana nasi pia tunatoa ushauri.
 
Hongera sana chief!
Mie nafikiria kufungua duka la spear za range rover ili tufanye biashara
 
Muache anunue bana.....
ushauri gani mbovu huu unampa!!???
 
Hahahaha nimemcheki anadai ndio kwanza ana laki na nusu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…!

Kwahio hii safari naona kimsingi bado ndefu sana! Huenda akanunua tukiwa awamu ya naneπŸ˜…
150,000 times 30 sawa 4,500,000

ukichukua hiyo ukaizidisha mala 12 unapATA 54,000,000 AKIZIDISHA MALA 4 ANAPATA 216,000,000 HAPO ANAVUTA KABISA KITU

C.C witnessj
 
150,000 times 30 sawa 4,500,000

ukichukua hiyo ukaizidisha mala 12 unapATA 54,000,000 AKIZIDISHA MALA 4 ANAPATA 216,000,000 HAPO ANAVUTA KABISA KITU

C.C witnessj
Hahahahah kwahio baada ya miaka mi nne ikiwa hicho anachofanya cha kumpa 150,000 hakijavurugwa na Bwana Lameki
 
Nakuunga mkono uchukue hiko chuma. Kimetulia sana.

Ila mambo mengine nafikiri tutaendelea kukumbushana kadiri muda unavyokwenda.




Hilo ndinga halihitaji uwe na pesa za mawazo, suspension ikizingu si chini ya milioni 5 lazima ikutoke
 
Hekima nyingi na busara za kutosha nimezipata kwenye hii comment yako.
Kikubwa tunavyo vitamani hapa duniani havitupi furaha ya kudumu bali tunakimbizana na wakati tu.
 

Mkuu hongera kwa kuthubutu, ila binafsi nahuzunishwa na baadhi ya watu kuhisi kudhalilika sababu yeye anamiliki ndai labda ya bei rahisi na kumuona mwenzake either kitaa au kazini ana ndai nzuri.

Kitu nnachofahamu mimi kila mtu hununua usafiri kulingana na majukumu & kazi au ishu zake ( japo kuna baadhi hununua za gharama kwa ajili ya show off ) so binafsi sionagi jau kabisa yaan[emoji4]. I wish kama watu wakaelewa hili vizuri
 
Una kiasi gani banki au huko kwenye kibobo cha akiba akifika?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…