Nadunduliza nichukue Range Rover mwaka wangu huu

mzee range rover siyo gari ya kudunduliza hata kidogo lasivyo ni lazma ikutoe shoo maana shock up tu za mbele 1m lazma ipotee sasa kwa style hyo itakuwa kila kiki harbika kitu unaipaki ili udundulize ukanunua hata taa ya nyuma inayorange 400k
Nimemuuliza hapa ana kiasi gani ?!
 
Gari kubwa zinataka umakini mkubwa. Sasa mtu unatumia kluger halafu unataka kuweka wese la elfu tano likusogeze..... Ni upuuzi ujue
 
Hizo gari hivyo vitu vinadumu muda mrefu sana mpaka kije kusumbua sio leo labda ununue ikiwa mbovu...
 
Baada Ya KUOA ikawaje mzee.?
 
Maisha n ktu cha ajabu sana kuwahi kutokea duniani.
 
Hizo gari hivyo vitu vinadumu muda mrefu sana mpaka kije kusumbua sio leo labda ununue ikiwa mbovu...
Mkuu Vogue 2017 na 2019 mpaka bongo kwa TZS inaendaje? Changamoto kuu za Range Rovers ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…