Naelekea DAR jiji la wala chips, ukwaju, urojo na bia Lite

Naelekea DAR jiji la wala chips, ukwaju, urojo na bia Lite

Natamani ningekuwepo nikukaribishe na mikwara ya watoto wa keko ati ana ndugu mara ni afisa usalama , mara kuna nyumba ya urithi ikiuzwa atakuwa si mwenzetu , yaani vurugu tupu,kila la kheri ndugu yangu kuwa makini na panya road.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app

keko waulize chizcom kariakoo watakuelezq aggrey hapo
 
Yaani kuja Dar mpaka utangaze na kuanzisha uzi, ulizaliwa Dar ila mkarudisha mpira kwa kipa uko mkoani na sasa umeuza shamba la urithi ukaamua kwenda Dar
 
Naona umeandika uliyosimuliwa

Anyway ngoja tuone atakupokea Nani Apo stand, usitegemee tuje kukuchukua wakati umetunyali
 
Nakupa mwezi mmoja na wewe utaanza kuvaa vibukta vya wanaume wa dar.... usisahau kuvipost huku jf
 
Dsm Njoo na akili yako,,, tabia utazikuta hukuhuku.
 
Yule mzee Mwehu alisema hadi Juni ya 2016 watu wote wasio na ajira rasmin watakuwa wamehama mjini..matokeo yake alihama yeye akatokomea jangwani Dodoma afu akahamia porini Chato mwisho akafa kwa msongo wa mawazo na roho mbaya..Sisi bado tunadunda hapa Bandari Salama
 
Jiji ambalo unaenda sehemu ya chakula unaambiwa kuna ugali makange na muhudumu yupo bz [emoji23][emoji23][emoji23] makange tena ndio manini,kijana kutoka ludewa.
 
Back
Top Bottom