Naelekea Kenya Ijumaa, anayetaka lifti!

Naelekea Kenya Ijumaa, anayetaka lifti!

Mimi ninataka kwenda kutembea tu siku ukirud turudi wote je kuna nafasi iyo??
Nb uwepo wa kule ninajighalamia mwenyewe.
 
Haujui wabongo wewe.

Hapa mtu atajifanya ndiye msafiri kisha anaenda mtaani anamtafuta mtu anayesafiri kwenda kenya anampiga 50000.

Na maelezo anamwambia kuna dereva wangu namwagiza kwenda Kenya. Wewe huyo abiria akishakuja wala hamuulizani masuala ya pesa utakuja kujua baadae au usijue.

Mkuu hapo atabidi ajiongeze kuwakumbusha kuwa yeye ndio mwenye gari na hatozeshi nauli
 
Haujui wabongo wewe.

Hapa mtu atajifanya ndiye msafiri kisha anaenda mtaani anamtafuta mtu anayesafiri kwenda kenya anampiga 50000.

Na maelezo anamwambia kuna dereva wangu namwagiza kwenda Kenya. Wewe huyo abiria akishakuja wala hamuulizani masuala ya pesa utakuja kujua baadae au usijue.

Hehehehe!! Nipo hoi, mbavu zanguuuuu.....nimecheka bana...
 
Back
Top Bottom