Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Asidhubutu manze.Akipata abiria kigezo cha kwanza ndo safari ianze ni account balance kwenye benki. Hamna cha kusafiri kuja Kenya na hela za madafu bana. 😀Barbarosa usije na wale omba omba wa kwenu.
Haujui wabongo wewe.
Hapa mtu atajifanya ndiye msafiri kisha anaenda mtaani anamtafuta mtu anayesafiri kwenda kenya anampiga 50000.
Na maelezo anamwambia kuna dereva wangu namwagiza kwenda Kenya. Wewe huyo abiria akishakuja wala hamuulizani masuala ya pesa utakuja kujua baadae au usijue.

ndio home? happy new year bonge activeUtanishusa arusha ?