Naelekea kukata tamaa na maisha, Mungu kama upo, KWA NINI MIMI? Lengo la kuishi ni nini?

Naelekea kukata tamaa na maisha, Mungu kama upo, KWA NINI MIMI? Lengo la kuishi ni nini?

Mortician

Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
6
Reaction score
1
I feel like I can't hold it anymore!
Nipo nimejifungia ndani nina machungu yasiyo pimika. Najiuliza kwa nini Mungu? As i was getting myself together again, suddenly this happens.
Oh lord.
 
Ndugu pole sana kwa unayoyapitia, kwa hali ya familia zetu za uwezo mdogo, hayo mara kadhaa huwa yanatokea sana kwetu sisi vijana. Usikate tamaa, muda wako muafaka wa kuanza kuiona Nuru upo karibu, mtegemee sana Mungu, usipende kushinda ndani peke yako, weka pembeni Aibu. Mafanikio yapo kwa kila anaeyatafuta.
 
Brother, Usikate Tamaa na Magumu unayopitia, Maisha ndivyo yalivyo,.
Kumbuka Siku ambazo ulikuwa unaishi Vyema Bila matatizo yotote, jipe Moyo pia kuwa na haya Yatapita, Jipe ujasiri Mtoto wa Kiume ww
 
I feel like I can't hold it anymore!
Nipo nimejifungia ndani nina machungu yasiyo pimika. Najiuliza kwa nini Mungu? As i was getting myself together again, suddenly this happens.
Oh lord.
Hold your faith to God, around the corner Jesus is coming soon..!

Shida majaribu si muda utavalishwa taji..!

Hold your faith to God, around the corner Jesus is coming soon..!

Shinda majaribu si muda utavalishwa taji..!

Ufunuo wa Yohana 2:9-10

Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani. Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.
 
Binafsi sikuwahi kujua kabisaa kama hiyo ya shaggy inaitwa *Why me Lord.*...nimekua nikiimba toka udogo ...nikisema Why me loooh... why me ...na wala sikujua una maana gani. ? Unaweza kuimagine ni watu wangapi nimekutana nao na hawajawahi niambia kuhusu ilo, iweje nije kujua kupitia kwako. ?

Hii ikufanye utambue nafasi, mm ni mmoja wa ulinisaidia kujua kitu kidogo hichi tambua kuna mtu nje anangoja kusikia lolote kutoka kwako ili apate either uelewa fulani au umtoe kwenye kiza fulani.
Bado una maana sana katika ulimwengu huu ....nafasi yako ipo na ni kubwa kuliko unavyodhani.


Ahsante kwa kunipa Elimu ya Wimbo wa Shaggy.
 
Back
Top Bottom