Panya Mabaka
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 619
- 557
Nipo njiani naelekea Magogoni nasikia kuna manyumba bwerere, maji, maumeme na mazagazaga mengine.
Halafu wakazi wengi wa maeneo hayo wengi wamehamia vijiini. Anayehitaji aunge msafara!
Halafu wakazi wengi wa maeneo hayo wengi wamehamia vijiini. Anayehitaji aunge msafara!