Zipo kule mkuu, kilakitu, wazawa ni wakulima kwaio zipoPembejeo umeziacha mjini.
Mkuu mbona unanitishakaribu mkoa wa machinjio ambao ukiona polisi kahitisha vyombo vya habari utasikia ni geita
Chikobe vijijiniUna taka kwenda butundwe sehemu gani?
Chikobe kuna mashamba hapo kweli, kasamwa kule kuna mashamba.Chikobe vijijini
Kasamwa mashamba yapo, lakini chikobe kama ana taka kulima sio sehemu sahihi.Karibu Kasamwa, Nzela
Amin kilimo ni uti wa mgongo.
KaribuHabari wakuu
Kama kicha cha habari kinavojieleza,,,nimeplani mwezi wa kumi msimu wa kilimo kwa kanda ya ziwa, kwenda mkoa wa GEITA, hasa geita vijijini, kijiji cha BUTUNDWE
Lengo ni kwa ajiri ya kupambana na uchumi kwenye nyanja ya Kilimo cha maharage na mahindi
Nime plan kukaa kwa miezi mitatu kwa kuanzia paka project itakapo simama vizuri ila ruti zitakua nyingi tu
Napenda kujua A,B,C za icho kijiji , jinsi ya kuishi na wana kijiji,,naskia kanda ya ziwa uchawi ni mwingi nawezaje ku survive,, japo uchawi upo kila sehemu,,,
Sehemu yangu ya kurelax itakua katoro kila ijumaa paka jumapili.maana ni dk kadhaa tu kutoka butundwe kwenda katoro
Wanaojua huko nijuzeni
Nawasilisha
Niliogopa kusema..1) Uwe mtu wa maombi sana
Au
2) Uwe mchawi sana.
Wenzako wanazungumzia dhahabu Geita wewe unaenda kulima maharageHabari wakuu
Kama kicha cha habari kinavojieleza,,,nimeplani mwezi wa kumi msimu wa kilimo kwa kanda ya ziwa, kwenda mkoa wa GEITA, hasa geita vijijini, kijiji cha BUTUNDWE
Lengo ni kwa ajiri ya kupambana na uchumi kwenye nyanja ya Kilimo cha maharage na mahindi
Nime plan kukaa kwa miezi mitatu kwa kuanzia paka project itakapo simama vizuri ila ruti zitakua nyingi tu
Napenda kujua A,B,C za icho kijiji , jinsi ya kuishi na wana kijiji,,naskia kanda ya ziwa uchawi ni mwingi nawezaje ku survive,, japo uchawi upo kila sehemu,,,
Sehemu yangu ya kurelax itakua katoro kila ijumaa paka jumapili.maana ni dk kadhaa tu kutoka butundwe kwenda katoro
Wanaojua huko nijuzeni
Nawasilisha
Mkuu unanitisha,,, nimeplani niwe kama digidigi naonekana kwa machale tu1) Uwe mtu wa maombi sana
Au
2) Uwe mchawi sana.