Naelekea mkoa wa geita kwaajili ya kilimo

Naelekea mkoa wa geita kwaajili ya kilimo

Butundwe !. Nilizaliwa katika hospital ya Butundwe
 
karibu Geita, ukizifumania usisite kufika manispaa ya geita hasa mitaa ya Balenge 😂
tena hii mida pamekucha
 
Habari wakuu

Kama kicha cha habari kinavojieleza,,,nimeplani mwezi wa kumi msimu wa kilimo kwa kanda ya ziwa, kwenda mkoa wa GEITA, hasa geita vijijini, kijiji cha BUTUNDWE

Lengo ni kwa ajiri ya kupambana na uchumi kwenye nyanja ya Kilimo cha maharage na mahindi

Nime plan kukaa kwa miezi mitatu kwa kuanzia paka project itakapo simama vizuri ila ruti zitakua nyingi tu

Napenda kujua A,B,C za icho kijiji , jinsi ya kuishi na wana kijiji,,naskia kanda ya ziwa uchawi ni mwingi nawezaje ku survive,, japo uchawi upo kila sehemu,,,

Sehemu yangu ya kurelax itakua katoro kila ijumaa paka jumapili.maana ni dk kadhaa tu kutoka butundwe kwenda katoro

Wanaojua huko nijuzeni


Nawasilisha
Sehemu ambayo nadreamed kufarming ni mbeya city nishawahi pita maeneo ya iwalanje pale paliniiattract i wish one day yes
 
Back
Top Bottom