Naelekea wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi

Joined
Aug 1, 2013
Posts
89
Reaction score
11
NIKO NJIA NAELEKEA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI(MOEVT) OFISI #52 inayohusiana na maswala ya elimu' lengo ni kutaka kujua ni lini hasa ajira hizi pendwa zitatangazwa, majibu nitakayopewa nitawajuza walimu wenzangu, nimeshindwa kuvumilia,,AHSANTENI



=========================================
 
Good.
Waambie wasikujibu kisiasa, kama bado kisa pesa wamepeleka Bunge la katiba basi tuende zetu Botswana na Rwanda wanashida na walimu wa Science.
 
Umefanya vema ndugu, ungekuwa na fom na mimi ningesaini ili kukusapoti katika hoja yako.
 
kila la kheri kiongozi, ila huenda ukapewa wrong answer kama waliweza kumdanganya mh. majaliwa na mkuu wa tz itakuweje kwako...
 

Uamuzi mzuri sana nawa kisomi,mimi mwenyewe nilipanga wiki hii ikipita bila lolote niende wizarani j'tatu tareh 17 ila kama kweli umeenda basi tuwakilishe vyema mkuu.
 
Usikubali jibu linalo sema ajira zitatolowa mda wowote kuanzia sasa.
Hili sio jibu hata siku moja.
 
bhana mazingira ya mtaani ni magumu sana,mbona maaskari wanapomaliza kozi yao nakupewa ajira zao mapema, lakini serikali haina mapenzi ma walimu kwani wameshindwa kutoa ajira kiboko yao ni kufelisha watoto ndani ya miaka 2 ili serikali ijue umuhimu wa walimu,kuna nchi mfano rwanda,burundi na malawi wanashinda sana na walimu
 
Good uwe mfano wakuigwa wito wangu kwa wenzangu tunaongoja post tusiwe tunapost mambo ambayo atunaevidance nayo no evidance no right to speech kunamijitu umu jf inalopoka lopoka alafu isitoshe si wahanga wa izi post kwa upande wangu nimeumizwa xana ili jambo kwa wizara husika kwakutowa tamko rasmi mpk right now kama wasomi na walimu wenzangu yahitaji tuwe kitu kimoja pindi tunapo pata the real information co kupayuka ni ayo tu
 

umuhimu wenu wanauona kwenye uchaguzi mkishawasaidia wanawatupa kama yale maputo
 
Walimu tuna hali ngumu...walimu!

Walimu tuna hali ngumu...walimu!

Tutazua kitimutimu...

Hadi wizara ya elimu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nna wasiwasi huenda ndo ile methali isemayo- UKIONA MANYOYA ................
 
Majibu niliyopewa ni kuwa suala la serikali kuwa haina pesa za kuajiri walimu wapya hadi tarehe 1 april-mwaka huu si za kweli na kama ni za kweli basi ndiyo kwanza wanazisikia kutoka kwangu.

Pia naibu waziri wa moevt jenister mhagama hakuongelea suala la ajira mpya za walimu hizo ni rumours tu za watu, sikukata tamaa nikauliza ajira hasa ni lini, nikajibiwa kuwa, mamlaka hayo anayo katibu mkuu owm-tamisemi ambaye ni prof-sifuni mchome.


nb: Tumeambiwa tuache kusikiliza rumours kwasababu suala la ukata wa fedha halijazungumziwa na kiongozi yoyote wa moevt.


Nimeambiwa ajira ni haki yetu na haitafika huko tunakofikiria,ingekua km ni hivyo basi waziri ama katibu mkuu angetangaza.(habari hii nimepewa na mama mmoja pale moevt kitengo cha utumishi)
.......................mwisho.......................
 
mkuu nikupongeze...ila bado nina wasi wasi...haya uyo mama kweli anahusika hapo wizarani? isije ikawa yale ya baba ake mdogo rey makuku...sasa nirudi kwenye mada.. inaonyesha "hata hao hawajui ajira ni lini" ingawa wanaamini zipo.. pili hawajui kuwa serikali imefulia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…