MLEMVYA RASHID
Member
- Aug 1, 2013
- 89
- 11
NIKO NJIA NAELEKEA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI(MOEVT) OFISI #52 inayohusiana na maswala ya elimu' lengo ni kutaka kujua ni lini hasa ajira hizi pendwa zitatangazwa, majibu nitakayopewa nitawajuza walimu wenzangu, nimeshindwa kuvumilia,,AHSANTENI
=========================================
=========================================
Majibu niliyopewa ni kuwa suala la serikali kuwa haina pesa za kuajiri walimu wapya hadi tarehe 1 april-mwaka huu si za kweli na kama ni za kweli basi ndiyo kwanza wanazisikia kutoka kwangu.
Pia naibu waziri wa moevt jenister mhagama hakuongelea suala la ajira mpya za walimu hizo ni rumours tu za watu, sikukata tamaa nikauliza ajira hasa ni lini, nikajibiwa kuwa, mamlaka hayo anayo katibu mkuu owm-tamisemi ambaye ni prof-sifuni mchome.
nb: Tumeambiwa tuache kusikiliza rumours kwasababu suala la ukata wa fedha halijazungumziwa na kiongozi yoyote wa moevt.
Nimeambiwa ajira ni haki yetu na haitafika huko tunakofikiria,ingekua km ni hivyo basi waziri ama katibu mkuu angetangaza.(habari hii nimepewa na mama mmoja pale moevt kitengo cha utumishi)
.......................mwisho.......................