RESCUE TANZANIA
Member
- Mar 30, 2012
- 56
- 8
big job
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nikupongeze...ila bado nina wasi wasi...haya uyo mama kweli anahusika hapo wizarani? isije ikawa yale ya baba ake mdogo rey makuku...sasa nirudi kwenye mada.. inaonyesha "hata hao hawajui ajira ni lini" ingawa wanaamini zipo.. pili hawajui kuwa serikali imefulia..
allan clement huyu mama ni mkongwe pale wizarani na ni mtu mkubwa, yani ana nafasi yake, sema wanakua wagumu kusema ni lini mambo yatakua sawa
Majibu niliyopewa ni kuwa suala la serikali kuwa haina pesa za kuajiri walimu wapya hadi tarehe 1 april-mwaka huu si za kweli na kama ni za kweli basi ndiyo kwanza wanazisikia kutoka kwangu
pia naibu waziri wa moevt jenister mhagama hakuongelea suala la ajira mpya za walimu hizo ni rumours tu za watu, sikukata tamaa nikauliza ajira hasa ni lini, nikajibiwa kuwa, mamlaka hayo anayo katibu mkuu OWM-TAMISEMI ambaye ni prof-sifuni mchome.
NB: TUMEAMBIWA TUACHE KUSIKILIZA RUMOURS KWASABABU SUALA LA UKATA WA FEDHA HALIJAZUNGUMZIWA NA KIONGOZI YOYOTE WA MOEVT.
Nimeambiwa ajira ni haki yetu na haitafika huko tunakofikiria,ingekua km ni hivyo basi waziri ama katibu mkuu angetangaza.(HABARI HII NIMEPEWA NA MAMA MMOJA PALE MOEVT KITENGO CHA UTUMISHI)
.......................MWISHO.......................
Kuanzia mwaka huu waalimu wataanza kuomba kazi kama zilivyo kada nyingine nchini, na kufanyiwa interview! Take it or leave it!