Naelekea wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi

Naelekea wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi

WAKUU, NINA MTU WA UHAKIKA ANAFANYA PALE WIZARANI, LAKINI MAJIBU ALIYONIPA, NAOGOPA KUWAPATIA. ILA INATUTAKA MOYO KAMA NDO ITAKUWA HIVYO. Huwezi kuniamini hata ningefanyaje. Ni vigumu mno. Hard to swallow.
 
Na wewe leo una mt wa wizarani?ongera,ila danganya wengne si mimi
WAKUU, NINA MTU WA UHAKIKA ANAFANYA PALE WIZARANI, LAKINI MAJIBU ALIYONIPA, NAOGOPA KUWAPATIA. ILA INATUTAKA MOYO KAMA NDO ITAKUWA HIVYO. Huwezi kuniamini hata ningefanyaje. Ni vigumu mno. Hard to swallow.
 
Kuanzia mwaka huu waalimu wataanza kuomba kazi kama zilivyo kada nyingine nchini, na kufanyiwa interview! Take it or leave it!

ikiwa hivi kutatokea mapinduzi ya tuition centers maana hawa ndugu walivyo ni wengi mtaani, itafika wakati itakuwa hivyo ulivyosema lakin sidhan kama ni mwaka huu au mwakani bado sana kuna uhaba wa waalimu.
 
Back
Top Bottom