amaa ambaye aliweza kuongea kiingereza kidogo alisema wameenda nchini Italy kupumzika na Kutembea kama watalii,nadhani maafisa hawakuridhika na maelezo hayo,ikabidi demu na mshikaji wapelekwe huko vyumba vya ukaguzi na kila mmoja akaingizwa kwenye chumba chake na kuanza kuhojiwa kivyake !
Baada ya kila mtu kuhojiwa kimpango wake,demu akasema mshikaji ni shemeji yake,na jamaa akasema demu ni mke wake kabisa wa ndoa!😁
Baada ya kubanwa na kukaziwa macho na maafisa,demu akasema mshikaji ni rafiki yake na mshikaji akasema demu ni Dada yake 😁