MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Vipi kuhusu fingerprint?Hii Mifumo ya passport ya kuchanja ni rahisi kuidanganya kuliko mtu binafsi thus ukiwa na passport original lakini sio yako geti la passport linafunguka tu,
Hata e passport unaweza tumia passport ya hata ndugu yako geti linafungua tu haina uwezo wa kuditechn mmiliki halali wa passport hii ni weakness ya epassort system
Hapa unadakwa hakuna ujanjaVipi kuhusu fingerprint?
Napenda Ile channel ya discovery family channel, Kuna kIle kipindi Cha viwanda vidogo aisee mzungu ana jua Sana.
Kuna kIle Cha usalama wa nchi, wanacho tengeneza drone, nuclear interceptor ni π₯ π₯.
Nawa jua Sana, gun slingers kipindi Cha crime za zamani una kijua?Jamaa wanaojua sana mkuu,mi huwa napenda kile kipindi Cha Garage Squad pia kinapatikana hapo hapo Discovery family !
Prisoner dilemmaamaa ambaye aliweza kuongea kiingereza kidogo alisema wameenda nchini Italy kupumzika na Kutembea kama watalii,nadhani maafisa hawakuridhika na maelezo hayo,ikabidi demu na mshikaji wapelekwe huko vyumba vya ukaguzi na kila mmoja akaingizwa kwenye chumba chake na kuanza kuhojiwa kivyake !
Baada ya kila mtu kuhojiwa kimpango wake,demu akasema mshikaji ni shemeji yake,na jamaa akasema demu ni mke wake kabisa wa ndoa!π
Baada ya kubanwa na kukaziwa macho na maafisa,demu akasema mshikaji ni rafiki yake na mshikaji akasema demu ni Dada yake π
Nawa jua Sana, gun slingers kipindi Cha crime za zamani una kijua?
Lakini bado najiuliza wenye passport zaidi ya moja wanapitaje? Utakuta mtu ana pasi ya TZ na nchi nyingine ila anasafiri tuHapa unadakwa hakuna ujanja
Usiulize database ya fingerprint ipo Nchi uliyotoka ndio maana wale wana scan pass yako ili nao wawe na taarifa zako kwa hiyo ukiacha moja wao watakua na taarifa za passport moja ila ukirudi na passport ingine ukiweka dole gumball wanakukamata..Hata mimi nimejiuliza sana hapo kwenye fingerprints.
HatariUsiulize database ya fingerprint ipo Nchi uliyotoka ndio maana wale wana scan pass yako ili nao wawe na taarifa zako kwa hiyo ukiacha moja wao watakua na taarifa za passport moja ila ukirudi na passport ingine ukiweka dole gumball wanakukamata..
Mi nafikaga holili pale nashangaa TU sijawahi kuvuka na sijawahi fatilia kama Kuna any requirements lakini naona wamama wanaenda kuuza nguo na vitu vingine kule taveta.Sijawahi hata kivuka Namanga, ila hiki ndio huwa kipindi changu pendwa....mbeleni nitakuwa nasafiri kumzidi hata Mzee wa Msoga, kwakweli huwa najifunza mengi!