Naenda jimboni... Nitawamiss sana

'

du! huyu ndio mbunge mtarajiwa...Lord have mercy!
 
mwanamapinduzi, ni wachache tunabahatika kujua uozo wa hawa wagombea, hebu niambie mtu kama huyo atavyojipolish huko kijijini ili auzike. maskini watz wenzangu huko hawjuai jamaa ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya mwana kondoo!!!!
 
Mbona inakuwa kama vile kugombea kombe la mataifa ya Afrika. Hivi wagombea ubunge wa namna hii wanajua wanachofanya kweli? Hivi ubunge ni ulaji? Kweli hii ndio minyang'au yenyewe.
 
hafiki mtu kwa dizaini hii, mie ndio mana cpendagi kuchungulia humu, kuna ma stress balaa, hebu aje aseme lolote bwana.

kunaudhi sana jukwaa hili sema kujizuia ni ngumu maana inthe end we are victimsof this nonesense.

hajitena huyu......u will see keep waiting. sana sana atavizia mmeondoka ndo aje
 
Mbona inakuwa kama vile kugombea kombe la mataifa ya Afrika. Hivi wagombea ubunge wa namna hii wanajua wanachofanya kweli? Hivi ubunge ni ulaji? Kweli hii ndio minyang'au yenyewe.

someone tell mee where is that pure motive ya kugombea kwa mtu kama huyo!!! anataka kujinufaisha mwenyewe tu hana lolote jipya.....
 
kunaudhi sana jukwaa hili sema kujizuia ni ngumu maana inthe end we are victimsof this nonesense.

hajitena huyu......u will see keep waiting. sana sana atavizia mmeondoka ndo aje

nasemaje...kwanini anaaga kwa hilo jina? angejiweka hadharani bwana, he is not serious@ all.
 
Lakini kama uk mwadilifu ungetuambia ni jimbo gani halafu tungekumegea reality. Ili usije na vidola ama vipaund vyako vikayeyuka. Si umesikia watu wanasukuma mahammer huku TZ sio Hollywood tu. Just be open kama mzalendo na msafi. Usiogope kama nia yako ni Njema. Ila kama ni Jimbo la MUSOMA Ukapambane MKONO ama Jimbo la Pinda. Fikiria kwanza!!
 
Nakutakia kila la heri kwenye kinyang'anyiro cha kuwania ubunge. Ila nadhani bado suala la CCM ni changamoto hasa ikizingatiwa kuwa ni chama ambazo kimetekwa na mafisadi. Inabidi ujiandae kwa hilo na hasa kama unaingia kwenye ushindani kwa madhumuni ya kusimamia maadili. Labda kama na wewe ni fisadi ama unafadhiliwa na mafisadi. Ila kwa upande wangu inaniwia vigumu sana kutenganisha chama na wanachama wake.
 
nasemaje...kwanini anaaga kwa hilo jina? angejiweka hadharani bwana, he is not serious@ all.

wewe huyu jamaa alikuja na lengo hilo toka day one...trace back and you will see. sema labda hakufikir kama huu uwozo mwingine unaweza pia ukaongeza kumuharibia lengo lake.....

natamani asiwe serious maana ananitia kinyaaa!!! MU u better be kidding buddy!!
 
huyu ndo wakusimamia maadili??? yapi hayo??
 
uchaguzi wa mwaka huu kazi ipo, kama wagombea wenyewe ndio vihiyo hivi uwiii....nitakuja kuunga foleni nipate kitambulisho cha mpiga kura tu.
 
Ebo! Kumbe? Huyu kumpa kura yangu ni heri nilale na kondoo! Ptuuuuu!
 
Ebo! Kumbe? Huyu kumpa kura yangu ni heri nilale na kondoo! Ptuuuuu!

Next Level kafanya jamaa hataki tena kuongelea masafari na hatma yake ya kugombea....huko aliko hajaamini kama angepekuliwa hivi.
 
Next Level kafanya jamaa hataki tena kuongelea masafari na hatma yake ya kugombea....huko aliko hajaamini kama angepekuliwa hivi.

Huyu si ndo alikuwa anasema sisi watu wa vijiweni huyu?
 
Next Level kafanya jamaa hataki tena kuongelea masafari na hatma yake ya kugombea....huko aliko hajaamini kama angepekuliwa hivi.

NL kafanya jambo la mbolea sana!!! kinachotuponza watz ni uvivu kujishughulisha tujua ni nani tunaye mchagua atuwakilishe!!! If we could only dig a little deeper mbona tutaona mengi ya kutisha!!!!
 
Huyu si ndo alikuwa anasema sisi watu wa vijiweni huyu?

bora sie wa kijiweni hatumdanganyi wala kumrubuni mtanzania yeyote....we are real and we do our thing!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…