Naenda jimboni... Nitawamiss sana

NL kafanya jambo la mbolea sana!!! kinachotuponza watz ni uvivu kujishughulisha tujua ni nani tunaye mchagua atuwakilishe!!! If we could only dig a little deeper mbona tutaona mengi ya kutisha!!!!

tatizo watu kama hawa wanakimbilia huko ma village bht, no net wala lolote! sasa akienda mtu kama huyu na tai na sera zake za hapa na pale, amewanasa....umackini kitu kibaya sana.
 
Mgombea Ubunge Upo Wapi? Kuna hoja za haja hapa kabla hata hujaenda huko jimboni. Najua unaisoma!
 
all the best. unakwenda Urambo kwa Sitta nini?
 
Wanagombea katika ticket ya CCM wanauakika wa kushinda sabab wanaiba kura. ama kweli niwasafi, mbona wanakataa kutoa NEC chini ya rais ili iwe independent?
Siku moja mtatokatu madarakan.
 
mtu wa ughibuni unayafamu ya nyumbani vizuri? waache wafu wawazike wafu wao, mkuu wewe uendelee na ughaibu tu
 
Huyu si ndo alikuwa anasema sisi watu wa vijiweni huyu?
Unakumbuka eeeeh? huyu wakulinganisha na wapwa kweli? please KIMATIRE mchango wako hapa!

NL kafanya jambo la mbolea sana!!! kinachotuponza watz ni uvivu kujishughulisha tujua ni nani tunaye mchagua atuwakilishe!!! If we could only dig a little deeper mbona tutaona mengi ya kutisha!!!!

You can say it again and again mammy!
 
Sema jina lako ni nani labda tunaweza kukuunga mkono kuliko mkuficha mambo kama hivi
 
Kwa jinsi nilivyocheck there is no way he is serious may be anatafuta umaarufu (popularity) humu JF!!!!
Tatizo kautafutia sehemu mbaya! Kajipaka mavi ya kuku usoni!
 
jamani jamani jamani mbunge wetu kumbe ni mwaribifu kiasi hiki haki anaenda kutuharibia watoto wetu kwenye kampeni zake
 
jamani jamani jamani mbunge wetu kumbe ni mwaribifu kiasi hiki haki anaenda kutuharibia watoto wetu kwenye kampeni zake

FL, pale mwanzoni nilikuona ulitaka kuingia mkenge na weye.......ha!ha!haaaa...nkakungalia tu.....meona ss? mhishimiwa huyo?
 
FL, pale mwanzoni nilikuona ulitaka kuingia mkenge na weye.......ha!ha!haaaa...nkakungalia tu.....meona ss? mhishimiwa huyo?

Kiongozi naona itabidi tutie timu kwenye hili jukwaa kwa muda kuweka watu sawa. Inaelekea watu wanadanganyana sana humu!
 
WAPWAAAZ wanatarajia kulivamia jukwaa la ma-politiksi na kuwaweka watu sawa ZENI WATARUDI UWANJA WAO WA NYUMBANI -OLD-TRAFFORD
 
alikuwa kalala ? kwa trend hii ataweza mng'oa babaa wa anne kilango?

Kumbe hilo ndilo jimbo analotaka kwenda kugombea? Kugumu sana kule! Yule mzee hivi ana mpango wa kuteteta jombo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…