Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeenda dangulo au sehemu yoyote Zinako patikana nyumba ndogo, umetongoza kama dakika mbili unagundua ni binti yako.
Utafanyaje mzee mzima na ndevu zako??? Na binti anaende kumwambia mama.
mkuu naamini ukitongoza lazima ni mtu unaemuona sasa ukishamshtukia ni mwanao kwa nini umtongoze??
kweli!!!!!!mkuu naamini ukitongoza lazima ni mtu unaemuona sasa ukishamshtukia ni mwanao kwa nini umtongoze??
Kichapo nitakachompa ni cha mbwa mwizi.
Natamani imtokee The Boss!