Naenda kuoa Mzungu, Miss Lucy

Naenda kuoa Mzungu, Miss Lucy

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Good morning!

Washika dau daaah siwezi kuelezea furaha ilivyokuwa, ila yote kwa yote namshukuru Mungu kwa yote, kwa maisha yangu zaidi ya kuwa na mamilioni kwenye account ila kingine next month I will go to engage with beutiful woman I have seen in my life.

Mchumba wangu anaitwa Miss Lucy Usher Lamine, ni mzungu na ni msomi na tajiri na pia ni mzaliwa wa jiji la Bath mtaa wa Abbey Green.

Miss Lucy Usher nilikutana naye fukwe za ibiza nilienda kula upepo na kuondoa stress za kuanguka kwa hotel yangu iliyopo mji wa Mzizima kitongoji cha Hahari Beach mtaa ya Ununio.

Next month will be my wedding day if God will reward another sweet moment of my life, so welcome all.

"Lucy and mwana Mzizima wedding."
 
Nikajua unaenda kuoa yule doktor wa bachelor degree in medicine and pediatric
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Papuchi za wazungu za baridi sana, utajutia uamzi wako.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Tuna subiri uoe umlete bongo awekwe golini hapo halafu sisi tucheze gombania goli.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom